Maghorofa yaliyoamriwa kuvunjwa na Lowasa yajengwa upya

Ally Kombo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
11,429
2,645
Yale maghorofa ya masaki yaliyo jirani na Lowasa yalioamriwa kuvunjwa na awamu ya nne, chini ya Waziri Mkuu mwenye uthubutu, yako hatua za mwisho za ukarabati. Wenye kupenda kupanga maeneo hayo wajitayarishe ! Sina uhakika kama ile kasi ya rushwa ya watendaji wa kinondoni kama imefutwa !
 
Mbona JF sasa hivi kumejaa mambo ya kuvunja moyo tu?...Nyakati zingine nawaza kabla ya kulog-in!
Hiyo Amri iliishia pamoja na huyo waziri?...Hivi amri huwa ni personal na si authority?
 
Nadhani hilo ndio jibu sahihi, Uzuri wa uongozi wa nchi hii unakuwa fired lakini wakati huo huo unapewa njia mbadala za kukusaidia, haiwezekanai mtu unafukuzwa kwa ufisadi katika idara fulani alafu unahamishiwa idara nyingine.
 
Pale palikuwa pana 'issue ya ukweli' au ni kulipiza kisasi na bifu ?
 
Mbona JF sasa hivi kumejaa mambo ya kuvunja moyo tu?...Nyakati zingine nawaza kabla ya kulog-in!
Hiyo Amri iliishia pamoja na huyo waziri?...Hivi amri huwa ni personal na si authority?

Kama unavunjika moyo kwa sababu zako basi usiingie umelazimishwa??? Watu wanaleta habari weye unaongea nini eti...
 
Mtenda kazi alishaondoka,wamebaki wasanii wasiojadiliana nini cha kusema,mara huyu Rais kabariki posho mara huyu posho hakuna,kwa style hiyo unafikiri watakumbuka hayo magorofa?NCHI HII HATA AKIONGOZA KICHAA AU MWENDAWAZIMU INAENDESHEKA TU,MAANA WATANZANIA WAMELALA FOFOFO!KAZI IPO!
 
Mtenda kazi alipoondoka aliondoka na 'authority au ni roho mbaya ya 'Mtenda kazi !?'
 
Back
Top Bottom