Channel 5 vp mbona kiza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Channel 5 vp mbona kiza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Feb 19, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ch5 vp mbona picha haionyeshi channel yenu? Sauti tu!!

  Au mitambo waliyoleta TCRA wamekata picha kwa ajili zembwela unawaumbua?
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Labda kuna mazishi
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaa nashangaaa picha imekata gafla tu nasikia sauti!
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Dah kwa kweli jamaa kawaumbua vizuri sana hivi hawa wanaojiita haki za binadamu wamewaona hawa mashoga ila hawa wanaodhalilishwa mbele ya watu humo magerezani hawayaoni? Kwakweli jamaa kasimulia kitu ambacho naamini ni kigeni mbele kwa walio wengi
   
 5. Suip

  Suip JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,039
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Huku Arusha hasa vijijini tunaotumia dish za futi 6 tumeshasahau chanels za ipp toka Januari 2012 sijui tutasubiri mpaka lini? Au kuna anayefahama namna ya kurekebisha kwani mafundi wanasema ni tatizo la satalite.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Watakuwa wamepigwa biti na TCRA wasirushe hule ushuuda,aisee jela zetu ni baraaaaa sana,jamaa kaniogopesha sana,yani amesema bora mtu akuue kuliko kupelekwa jela za bongo,godoro futi nne mnalala watu 8 hadi 10,magonjwa nje nje,uji mara mbili,ma-askari wanawabong'olesha wanawachungulia ass**les wafungwa,kuna haja hawa LRHC wafuatilie haki za wafungwa magerezani.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu maana mie bila stations hizo sioni umuhimu wa TV.
   
 8. Suip

  Suip JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,039
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Asante mkuu, ni kweli hata hamu ya kuangalia tv imeniisha.
   
 9. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Nakushauri utumie dish lenye upana wa futi nane utazipata vizuri kabisa bila shida na hii imetokana na mkataba waliowekeana na mmiliki wa hii satellite ya Intelsat906 64E kuwa mawimbi yao yawe yanapatikana kwenye dishi za futi nane.
   
 10. A

  Akida kaka Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata dish la ft 8 sisi wa njombe iringa hatuzipati kabisa, channel za bongo ni TBC tu ndio inapatikana.
   
Loading...