Tafadhali airtel njooni musoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali airtel njooni musoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MZAWATA, Feb 19, 2012.

 1. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Katika mji wa musoma airtel tunaomba mfunge vifaa vyenu vya internet,kwa kwel tunapata tabu sana kupata internet ya uhakika na ya bei nafuu. Airtel kama mkomboz wetu chondechonde njooni mtusaidie maisha ktk hili.
   
Loading...