angalia channel 10 sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

angalia channel 10 sasa hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dubu, Feb 18, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Angalia kipindi kilichopo hewani. Safi sana.
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  kipindi gani wengine hatupo karibu na tv
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,015
  Trophy Points: 280
  Sa mbna unakurupuka tu..sema kna kitu gan?
   
 4. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Mkuu ingependeza kama ungetulia na kuleta taarifa inayojitosheleza kuliko ulivoleta kana kwamba unafukuzwa. Acha ubabaishaji mkuu maana haya ndo mambo yanayoliangamiza taifa. Ubabaishaji na usanii. Tafadhali linda heshima yako
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  ni kipindi cha je tutafika. nipo busy kidogo staweza kuwawekea kinacho ongelewa lakini hii ni mahususi kwa wale walio mbele ya tv. mwenye uwezo wa kuupdate afanye hivyo. maada ni; MGOMO WA MADAKTARI. Yupo sabatto kijana machachali. vilevile yupo dr. Primus Saidia ambaye ni Makamu wa Rais MAT.
   
 6. k

  kajunju JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Mtu analeta taarifa ya jambo.asipoelewesha watu linalojili kwenye radio,tvs,magazet lazma wakushambulie.kuleta taarifa apa jf means unawajulisha watu unachokiona ili wajue na wachangie.apa umeleta *****.chanel 10 kuna nini?
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,371
  Likes Received: 19,604
  Trophy Points: 280
  we jamaa kweli kiboko yaani unafikiri kila mtu yuko kwenye tv au ana yv au yuko bongo sio?
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mkuu hautendei haki jf hasa sisi ambao hatuko karibu na tv zetu. Lakini hapa inavyoonekana unataka watu waangalie channel ten kama vile unaitangaza. Kama huwezi kutupa newz haukuwa na maana ya kuileta hapa jamvini
   
 9. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ni mbinafsi sana bora angeacha kuweka hii posti
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mkuu sina maana hiyo. kama vipi uchune. nia ni kutoa taarifa ya kinachoendelea. ningekua nina mda wa kukaa kwenye TV ningewapa updates. tatizo mda umebana sana, samahani kwa hilo mkuu. mwenye access atoe update kama hayupo basi uchuneni.
   
 11. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  nitonye naomba unielewe au sio? mara ngapi natoa updates ya kinacho endelea?. mambo ya kawaida sana mtu kukosa nafasi hata hivyo lengo lilikuwa hilo.
   
 12. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ok nimekuelewa mkuu haina mbaya
   
 13. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Uanalalamika huna muda ila hapa umechangia kama mara nne hivi. Si ungeweza hata kuweka kwa kifupi hicho kilichojitokeza hadi sasa?
   
 14. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Huyo dubu asiyekuwa na muda bwana.
   
 15. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 2,388
  Trophy Points: 280
  No, ni dubu asiye na gubu!
   
Loading...