Nyanda za juu kiongozi serikalini uwe karibu na viongozi wa dini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyanda za juu kiongozi serikalini uwe karibu na viongozi wa dini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Feb 19, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]
  Pichani Makamu wa Rais akiwa na Askofu wa Jimbo Kaoliki la Mbinga - Ruvuma

  Mikoa ya Kusini Nyadnda za juu Kiongozi wa serikali ukiwa mbali na viongozi wa dini imekula kwako. Hawa viongozi wa dini wanaheshika kutokana na huduma kubwa wafanyazo kwa wananchi licha ya kuwahudumia kiroho, pia wako mstari wa mbele kutoa huduma za kimwili kama elimu na afya na hata maendeleo. Viongozi wa serikali wanajulikana maka watoa blabla tofauti na viongozi wa dini wanavyotoa huduma bila matangazo makubwa ya misaada, kama serikali ifanyavyo bila kutekelezeka.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Viva sana. Ngoja waje wavaa hijabu na vikofia uone mambo hapa!
   
Loading...