Maisha ya Kibongo

Frei

Member
Feb 13, 2012
19
4
Hivi inakuwaje Wahindi wanakaa nyumba za NHC kariakoo na Posta.....Juu wanaishi chini wana biashara......haiwacost hata mafuta kwenda kazini kama watanzania wengi.....ndo maana wikiendi unawaona wahindi kwenye mabeach na sehem za starehe maana hawana hasara kutumia wikiendi ikiwa wabongo wameshagharamika vibaya wiki nzima kwa nauli....serikali inafikiliaje na wahindi nao kukaa mbali na posta au kariakoo waonje joto ya maisha? na baadhi ya wabongo wakae posta na kariakoo?......
 
Back
Top Bottom