Msaada: Naomba kujuzwa mikoa yenye waislam wengi Tanzania bara.

Status
Not open for further replies.
labda tanzania visiwani lakini kwa bara,hakuna mkoa wenye waislamu wengi.
kwa ufupi waislam kwa tanzania bara ni sawa na sifuri
 
Niliwahi kuishi Kondoa. Huu si mkoa ni wilaya lakini ina waislamu wengi kushinda mkoa wote wa Mbeya.
 
Natumaini unafanya research yako kwa nia nzuri
Mikoa iliyo kandokando ya bahari (Tanga, Pwani, Lindi) DSM na Mtwara ni ngumu kujua nani wengi.
Tabora na Kigoma. Kwa kukusaidia ungeelekeza swali lako kiwilaya badala ya kimkoa ili upate majibu sahihi.
 
Acheni Ushenzi, na wewe uliyeleta hili swali ni m****** hivyo hivyo. Mbo ya udini chuki zake zinakuwa kila cku kwa kupitia mitandao ya kijamii. Hivi wana JF tutajisikiaje cku tukaanza kuuana kama NIGERIA huku tukujua sisi ni wachochezi wa kwanza? Hakuna Mungu anaye hubiri chuki. Ukijiona unachuki dhidi ya dini nyingine jijue ww ni washetani, na wala humpiganii Mungu yeyote yule. Mtoa mada kama ulikuwa na nia ya kweli ungeuliza marafiki zako wakaribu wangekupa hayo majibu. Moderators mchukue hatua ya kufuta threads zote zenye element ya kueneza chuki za kidini. Tunachukulia poa lakini madhala yake ni makubwa. Nilikuwapo ndanda miaka kadhaa iliyopita wakati hozo movement za kidini zilipo anza na leo ninaona matokeo yake!.
 
Sijui lengo la mleta thread lilikuwa nini, lakini kama ni kwa nia nzuri binafsi sina tatizo na thread hii. kilichojitokeza hapa ni baadhi ya wachangiaji kuonyesha ubaguzi wa wazi wa kidini jambo ambalo si sawa.
Tunahitaji ukombozi wa kifikra tunapojadili maswala yahusuyo dini zetu, ingekuwa jambo jema kama hao wa upande mwingine wanaodhani wameendelea sana wangewasaidia wa upande mwingine ili sote twende sawa, kufanyiana kejeli na kutengana hatutendi haki na hivyo vitabu vitakatifu havitufundishi hayo.
 
Hili swali tumsubiri Topical na KGM, hao ndo wana majibu kuhusu idadi umma
huo, hasa Topical ndo huwa anajilipuaga na madai ya wingi wa umma wake kuwa na wengi kuliko umma wa wengine.
 
Kama nia ya mleta thread ni nzuri ni sawa,lakini pia angepata jibu zuri kwa kuongea na marafiki,ndugu na watu kibao wapo mtaani wangempa jibu lisilo na shaka.Kuleta hapa jamvini thread ya aina hii hata kama ina lengo zuri mwisho wa siku huwa kejeli na maneno yasiyokuwa na maana,na nafikiri mleta thread anajua namna mambo haya yanavyoleta sokomoko kila mara hapa JF.Serikali yenyewe ilisitisha sensa kwa misingii ya dini miaka ya 70s.

Me nafirkiri ni kama haya mambo ya dini hatujajua madhara yake kabisa, ni kama we make funny of it...kama mchezo wa kufurahisha.Taratibu naona hata mitaani watu huyazungumza haya mambo kwa hisia kali..na hatima yake itakuwa mbaya haiitaji kupiga ramli..tumeyaona kwingineko...ya kikabila tu Kenya waliona cha moto (nilishuhudia) seuze ya kidini.

Me mkristo na naamini si vizuri kurusha jiwe kizani..nhujui litampiga nani..haba na haba hujaza kibaba.
 
Nenda ofisi ya sensa utapata takwimu za uhakika, japo zitakua za zamani kidogo.
Humu utaumia kichwa tuuu, labda kama nia yako ilikua ni kejeli
 
Waislam siyo watu wa kutamba na majivuno kama wewe mchungaji uchwara.
Jaribu kufanya utafiti mtanzania mwenye hela nyingi zaidi ni wa imani gani na anatokea wapi ndio uje kumwaga pumba zako hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom