Soko la simu za mtaani laongezeka mjin iringa.

Mnyaturu

Member
Dec 28, 2011
82
11
Vijana wauza vitu bei chee baada ya kukosa nauli ili warudi kwao baada ya kumaliza mitihani yao.wengine toka jana na wengine leo ndo wamemaliza.nafuu kwa watunza fedha.
 
Sasa kiongozi ushauri wako ni nini! Kimfaacho mtu chake. Unataka wapate nauli kwa kuiba au kujiuza mitaani?
 
Back
Top Bottom