Redio clauds fm inatoa matangazo ya kuwahamasisha tz wanaopenda kushiriki shindando hilo, wakajiandikishe multchoice na sehemu nyingine kadha wa kadha. serikali kupitia wizara ya habari na...
wadau leo ndugu yetu Yahya mohamed,hayupo ili kutuunganisha wana JF na kipindi moja kwa moja,kipindi kinaendelea .jicho letu ndani ya habari.
Mojawapo wa wageni waalikwa ni Dk kitimbo wa...
Imekuwa tabia ya tbc1 kushindwa kurusha habari zao vizuri
taarifa za habari za tbc1 imekuwa ni kawaida kuchanganya picha au kuchelewa kurusha picha au kuwa na interruption yoyoye ile pindi...
Salva Wa Ikulu anasema nchi haiendeshwi na mtandao wakati Jk kafungua facebook na kuendesha nchi.Pia wakati Shehe yahaya anatabili kuwa kuwa kuna mtu akichukuwa fomu kupambana na Kikwete...
Hello JF !!
1. Nimekua nikijiuliza hili swali mara kwa mara bila kujipatia jibu......kama ina vyojulikana kwamba iwapo una pesa yeyote iliyo chakaa mtu unalazimika kuipeleka bank ili upewe note...
Huduma hii baada ya kupapatikiwa na watu wengi imeshaanza kuwa kero. Kama ukitaka kutuma pesa mkoa mwingine tofauti na unaoishi wakala atakuambia hairuhusiwi mpaka akurushie wewe na wewe ndio...
Kesho ndio game ya Caf Champions League kati ya watani na Zamalek hapo uwanja mkubwa wa Taifa.
Nimeamua kwenda kinyume na mazoea ya kawaida, kwamba mtani akicheza hata na pipa, sisii tushabikie...
Nilipatwa na dharura wakati niko tayari kwenda safari Mwanza, nikapiga call center ya precision simu inanipa matangazo ya ROYAL PAA haipokelewi hata baada ya kurudia mara tatu nikaachana nao...
1. Bw. William Chenza (Mkurugenzi): Huyu alifikishwa mbele ya Bodi ili afukuzwe lakini bodi ikaona hakukua na sababu za kumfukuza wakati huo. Baada ya hapo akawa hashirikishwi kwenye kazi za...
Hii kweli nifundisho kwa dunia nzima pamoja na watanzania mtu moja haogopi kasimama mbele ya gari la police na nikokwenye mwendo mkali sana na police wamesimamisha gari nakurusha maji ya muwasho...
CLouds FM imeanzisha magazeti Lukuki
ambayo hayana kichwa wala mguu
Magazeti hayo ni kama
1.Patapata habari(Gazeti Jipya sijui kama nimepatia jina)
2.Dira Ya Mtanzania(la muda mrefu lakini...
ilikuwa siku kama ya leo nikiwa njiani kutokea mjini , nikapokea simu kutoka nyumbani
home; dady kuna majambazi wanapiga risasi huku tunazisikia
mimi; ingieni ndani upesi hamuwezi kujua...
Mwandishi mmoja wa Uingereza aliripoti kila kitu jinsi wizi wa dhahabu ulivyotaka kutokea geita na wale wezi kuuawa. Wengi wakashangaa wingi wa dhahabu tuliyonayo ambayo inaonekana hupelekwa South...
ninakerwa na hawa askari wa jiji hasa wanapoendelea kuwasumbua wananchi hasa wenye magari hapa Dar.
wanakamata magari na kuyapeleka kwenye yard zao kwa kisingizio kuwa umepaki pasiporuhusiwa...
Jamani kuna vioja huwa naviona hapa mjini vyengine nanyamazia kwa kuamini wahusika labda hawana uwezo wa kugundua uzembe huo au ni uwezo wao mdogo.
Lakini hebu tuliangalie hili la tofali kuwekwa...
Wana JF, habari
Ni taarifa za kuaminika kuwa EL atakuwa mgeni rasmi katika harambee ya ujenzi wa kanisa katoliki Kyela mjini mwezi April mwaka huu. Chanzo cha habari kinadai kuwa harambee hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.