Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Gwanda za Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CDM ) nitazipata wapi?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WIMBI la matapeli wanaotumia nyaraka za serikali kwa lengo la kuwapandisha vyeo bandia maofisa elimu kwa ngazi za maofisa vifaa na takwimu na maofisa taaluma limeikumba Wizara ya Elimu na Mafunzo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hivi kwanini startv haiaki kuanzisha kipindi cha mjadala kuhusu kufutwa matokeo ya kidato cha 4 2011 . kipindi hiki kinaweza kuweka mambo sawa hasa kwa huyu mama ambae ameonekana hana tena huruma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KASHIFA YA NGONA IMEGONGA VICHWA VYA HABARI KATIKA JIMBO MOJAWAPO LA CCM LINALO SHIKILIWA NA NAIBU WAZIRI WA WIZARA MOJA NYETI BAADA YA NAIBU WAZIRI HUYO KUMPA MIMBA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI NA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Níko bukoba hawa tigo sijuwi wana matatizo gani yaani hawako onair kwa zaid ya masaa manne hii ni shida sana.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Elius Msuya KANISA moja huko Mlandizi, wilayani Bagamoyo, Pwani, limeingia katika kashfa ya kuwatapeli mamilioni ya fedha waumini wake kwa kisingizio cha kuziombea fedha ili kuondoa mikosi kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
hivi karibuni nilihadithiwa kisa cha mbeba box mmoja alieenda ng'ambo hivi karibuni.mbeba box huyu wa kike ni graduate kutoka katika vyuo vyetu vya private na mara baada ya kumaliza masomo alisota...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NINAWATAFUTA JAMAA ZANGU WOTE WA BOX2 AMA SONGEA BOYS HUSUSANI WOTE TULOSOMA PALE KATI YA 1988-91 na wengine wa miaka mingine nikiamini uzawa wa vizazi na vizazi vya box2...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Hakika kwa sasa ktk jiji la dsm kiwanja hiki cha starehe ndicho kimekuwa gumzo,kila kona,na nikutokana na buruduni live zinazokuwepo, ila kuna tatizo juu ya suala la parking, jana nilikuwa pale na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Brenda Flanagan-Davies mwenye miaka 43 ndie mwanamke mnene kuliko wote nchini Uingereza akiwa na uzito wa kg 254. Mtandao wa The Sun umeripoti. Zoezi pekee analofanya Bibi Brenda ni kutembea...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Polonium-210 Basic facts Polonium-210 (Po-210) is a radioactive element that occurs naturally and is present in the environment at extremely low concentrations. Polonium was discovered by...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais Kikwete ni mkulima.na ili kuthibitisha hilo angalia hapa akiwa kwao huko msoga. JK Shambani Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimeshangazwa sana na hoja ya wajumbe flan hapa JF kwa matamko yao juu ya suala la Mh.Mwakiembe (MB) na NW UJ; kwa kuonyesha waziwazi kumtupia lawama Mh.Rais juu ya ukimya wake kuhusiana na tatizo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama mkuu wa nchi hayupo tayari kuingilia kati suala la ugonjwa wa Dr.Mwakyembe,nashauri iundwe TUME HURU ya uchunguzi juu ya chanzo cha maradhi ya DR.MWAKYEMBE.Pia genge la mauaji linaloratibiwa...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Ni miaka kumi na mbili sasa, lkn nalikumbuka tukio hili kama limetokea leo hii... Nilikuwa nimetoka kazini muda wa saa nne hivi asubuhi naendesha gari ya ofisi kueklekea airport ya JK Nyerere...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Inasikitisha kuona Jeshi la POLISI linatoa taarifa za uongo makusudi ili kuangalia Watanzania watasema nini,haya masuala ya kuongozwa na mafisadi kuangamiza watu kwa kutumia vyombo vya USALAMA ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Yasemekana wameshindwa kutoa pass kwa muda mrefu kwa kukosa pesa za kutengenezea machine za kuchapia. Mimi binafsi nilijaza form za kubadili pasi yangu iliyoisha muda tangu mwaka Jana December...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
katika hali inayozidi kuibua maswali mengi,waziri wa afya amesema ripoti ambayo dci manumba alitumia kusema kuwa dr.mwakyembe hakulishwa sumu,bali ni ugonjwa wa ngozi hawaitambui!kwani ripoti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nimeishi na wachaga sana,mchaga akifika mahali akishanunua kiwanja utaona jinsi atakavyobadilisha mazingira ya pale mara bustani mara anapanda miti ukienda kwao kule machame na marangu utafikiri...
7 Reactions
92 Replies
10K Views
Mwanadamu kiumbe cha ajabu yeye anatumia akili yake kutengeneza SILAA ZA MOTO(bunduki,risasi,mabomu nk) Hizi zote zinatumika KUANGAMIZA WANAADAMU!! Alafu binadamu anadai...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom