Wametoka kwa Albino wameanza tena kuchuna ngozi..

ZeMangi

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
436
33
Wakazi wa eneo la Katoro Geita hatuna amani kabisa baada ya tukio la jana saa 3 asbuhi tuliposhuhudia mwili wa binadamu mwanaume ukiwa umechunwa ngozi na kutelekezwa katka uwanja mmoja ambao unaandaliwa kwa ajili ya kujengwa stendi mpya,kwa kweli inatisha hasa kwa walioshuhudia tukio hilo la kinyama ambalo limefanywa na binadamu,kweli binadamu tunatisha..MUNGU naye nahisi katugeuzia kisogo.
 
MBEYA, IRINGA,RUKWA, SHINYANGA, MWANZA, MARA - Hivi watu wa mikoa hii wana utu kiasi gani; mi nakuogopa sana toka nione mwili wa mtu alochunwa ngozi mbozi sina hamu nako kabisa.
 
,najarbu kufananisha mnyama anapovuliwa ngozi anavyokuwa bonadam ??? Dah inatisha kwakweli
 
One week ago hapa songea watu wawili walichomwa moto na wawili walikimbia, walitaka kumkamata mwanamke mmoja aliyekuwa analima akapiga kelele za masaada na wakafanikisha kukamatwa wawili walipigwa na wananchi wenye hasira kali walipohojiwa zaidi walikiri na ndipo walipomwagiwa petrol na kuchomwa moto na baadaye kuzikwa. Kwa hiyo hii tabia inarudi tena.
Source: kwa watu waliokuwa eneo la tukio.
 
Wakazi wa eneo la Katoro Geita hatuna amani kabisa baada ya tukio la jana saa 3 asbuhi tuliposhuhudia mwili wa binadamu mwanaume ukiwa umechunwa ngozi na kutelekezwa katka uwanja mmoja ambao unaandaliwa kwa ajili ya kujengwa stendi mpya,kwa kweli inatisha hasa kwa walioshuhudia tukio hilo la kinyama ambalo limefanywa na binadamu,kweli binadamu tunatisha..MUNGU naye nahisi katugeuzia kisogo.

Mungu katugeuzia je kisogo mkuu embu funguka hapo maana naona kama kauli yako inamkufuru vile
 
MBEYA, IRINGA,RUKWA, SHINYANGA, MWANZA, MARA - Hivi watu wa mikoa hii wana utu kiasi gani; mi nakuogopa sana toka nione mwili wa mtu alochunwa ngozi mbozi sina hamu nako kabisa.

Mkuu hapo kama umeweka tabaka vile kwani kuna shm nyingine mambo yao wanayafanya indirect hasa haya ya kishirikina ambayo hatuwezi kuyaona
 
Hili ni janga lingine Mungu tuepushe nalo lisiendelee kwani linatisha
 
Back
Top Bottom