Aibu Bw. Magai

Samsindima

Member
Jan 18, 2012
37
0
Mwanasheria mzima tena wa kampuni yenye jina unakuwa na tabia za kishenzi hasa ukilewa. Unatukana na kuzusha ugomvi kila uendapo. Matukio haya ya ovyo ovyo hayaendani na maadili ya wanasheria na hasa kuharibia sifa jina la IMMA. Umefanya vurugu na kuvunja meza na viti Rose Garden, umeleta tafrani Movenpick na kumfanyia fujo Mhe. Freeman Mbowe hadi akalazimika kukukong'ota. Unatia aibu.
 
Kweli huyu Mshenzi..anastahili kuchomwa moto!

nmekukubali kk, anatakiwa kupewa adhabu zaidi ata ya kuchomwa.!!! Ila IMMA haina sifa yyote tanzania hii zaidi ya kutupeleka kwenye mikataba michafu na kuwalinda mafixadi
 
Urafiki wangu nayeye ulikufa kwa7bu ya tabia zake za kishenzi hasa pale anapolewa. Kweli kwa hili sina Staha au neno la kumpa. NI MSHENZI TU
 
jamaa aliwahi kumtishia mtu bastola cine club kisha akatoa uboo wake akakojolea kwenye glas ya bia ya mwenzie.magai akilewa hafai
 
Muacheni banaa, ana faida kwenye jamii. Mlipaji mzuri sana wa kodi ya pango huyu ndugu, na mkarimu haswaa.
Hivi mpwa wangu Mh Dr Golden Mpolee yuko wapi? Huyu ni eligible MBA of all time.
 
Mzee wa watu asipige kikombe? Mbona wengine mlikifata cha kwenu loliondo? Muachezi. Pamoja mkuu, Big up sana!
 
jamaa aliwahi kumtishia mtu bastola cine club kisha akatoa uboo wake akakojolea kwenye glas ya bia ya mwenzie.magai akilewa hafai
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha HAKIKA HUYU NI MSHENZI wa tabia..Facebook anatumia jina gani tumpelekee shigongo wamtoe na kashfa ya kufirimbwa na wanaume wenzake..kah nimecheka!!
 
Back
Top Bottom