The Back Story Of Bush's Visit To Tanzania

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
[SIZE=+4]The Back Story Of Bush's
Visit To Tanzania[/SIZE]
[SIZE=+1]
2-17-8 [/SIZE]
[SIZE=+1]The following is from a resident of Tanzania...[/SIZE]
[SIZE=+1]They have 600 people - yup 600!!! - people in his (Bush's) group: press, military, security, advisors, etc. It's crazy around here. There are signs up around town welcoming him and random American flags in random places. You still get the sense though that lots of people are not too happy about it. I would really like to contrast this with a Barak or Clinton visit.[/SIZE]
[SIZE=+1]Either way, about $700 million is coming into Tanzania from the US...so Kikwete (Tanzania's President) sure is glowing. The irony of this huge 'donation' is... the US said they are giving it because Tanzania has an accountable, stable government. Last week, the Prime Minister resigned along with a group of ministries because of huge corruption that leaked out.[/SIZE]
[SIZE=+1]Enter stage left, the leaking news that Bush has made secret agreements with Kikwete to build a huge American military base just north of Dar. [/SIZE]
[SIZE=+1]Ahh, it all makes sense now. $700 million 'to fight AIDS and malaria' ... and build a new strategic US military base. Why hasn't that part made the news?[/SIZE]
The Back Story Of Bush's Visit To Tanzania

My Take:

Kumbe ndio maana bado wapowapo na ukichunguza ule mradi wa kigamboni {http://www.ardhi.go.tz/news/2010/04/23/kigamboni-new-city-master-plan.html} kunasehemu watajenga Kambi ya jeshi je hilo jeshi ndio hili?
 
Huchoki na hizo conspiracy theory???? Mbona husemi juu ya wanyama wetu wanaouwawa kikatili Loliondo na wengine wanapelekwa utumwani uarabuni? Siyo kila baya linatokea magharibi peke yake, jaribu kugeuza macho yako kuelekeza mashariki pia, huko utawaona waarabu, wahindi, wairani, wapakistan, wakorea na wachina. Tafakari matendo yao hapa nchini na utapata jibu kama unania ya kuelewa
 
Hapo kwenye RED niambie wanatawala wapi? Ila mimi nitakuambia wanaleta kivumbi huko Nigeria, Yemen, Bahrain n.k.

Unajua historia ya wanapo pataka wamerekani? naamini unajua ila unajifanya hujuhi ila kaa ukijua VITA vinakuja na utajua siku moja ni kwa nini yalipotolkea Tunisia, Libya walikuwa kimbelembele na kwa nini wapo kimya kuhusu Bahrain na Yemen, Kumbuka Egypt pia je iliwachukua muda gani kukubali matokeo?

Tfakari ndugu yangu na chukua hatua!
 
[SIZE=+4]The Back Story Of Bush's
Visit To Tanzania[/SIZE]
[SIZE=+1]
2-17-8 [/SIZE]
[SIZE=+1]The following is from a resident of Tanzania...[/SIZE]
[SIZE=+1]They have 600 people - yup 600!!! - people in his (Bush's) group: press, military, security, advisors, etc. It's crazy around here. There are signs up around town welcoming him and random American flags in random places. You still get the sense though that lots of people are not too happy about it. I would really like to contrast this with a Barak or Clinton visit.[/SIZE]
[SIZE=+1]Either way, about $700 million is coming into Tanzania from the US...so Kikwete (Tanzania's President) sure is glowing. The irony of this huge 'donation' is... the US said they are giving it because Tanzania has an accountable, stable government. Last week, the Prime Minister resigned along with a group of ministries because of huge corruption that leaked out.[/SIZE]
[SIZE=+1]Enter stage left, the leaking news that Bush has made secret agreements with Kikwete to build a huge American military base just north of Dar. [/SIZE]
[SIZE=+1]Ahh, it all makes sense now. $700 million 'to fight AIDS and malaria' ... and build a new strategic US military base. Why hasn't that part made the news?[/SIZE]

The Back Story Of Bush's Visit To Tanzania

My Take:

Kumbe ndio maana bado wapowapo na ukichunguza ule mradi wa kigamboni {http://www.ardhi.go.tz/news/2010/04/23/kigamboni-new-city-master-plan.html} kunasehemu watajenga Kambi ya jeshi je hilo jeshi ndio hili?
Hii kali sijaisikia lakini inaonyesha kunakaa ukweli ndani yake. Hii ndoo ya kikwete na US imewafungulia geti hawa mabepari waje kutumalizia mali zetu. Kipindi cha Nyerere aliwafungia geti sasa limefunguliwa. Yaani Kikwete alianza na Bushi, alafu akawa na ka secret meeting na Obama na sasa Clinton akaja kujionea yeye mwenyewe investment zao zinaendaje.
 
Africans kills her own sun,dats why ppl from abroad see it as a dark continent nd coming to grabe our wealth.ooh LORD forsake us we're perishing,,
 
Back
Top Bottom