kwenu TBC , jua kuwa nyinyi mlipewa ruzuku kutu-habarisha juu ya ulimwengu, sasa hii staili ya kuungana na wachina kuifanya TV iwe kibiashara zaidi siyo mbaya, lakini izingatieni hali halisi ya...
Nafanya tafakuri ya masahibu yaliyomkuta mpambanaji Mh. Mwakyembe (Mb) NW.
Nashindwa kabisa kupata picha, Waziri ambaye yupo madarakani, zaidi ya mwaka uliopita alitoa taarifa na ushahidi kuhusu...
Wakuu wanaohusika na wanyama, wanasema Wachina hao wamekiri mashtaka ya kuwafanyia ukatili wanyama hao.
Wachunguzi wanasema walikuta magamba ya kobe 40, aina ya Bell's Hinge - aina adimu ya kobe...
Clouds FM wamefanya undava kwa kushirikiana na Tanesco wamezima umeme hili watu waende kwenye mechi yao,hayo mavitu mnayofanya clouds sio kabisa ebu tuwashieni umeme bwana!
Nawasilisha.
Mbolea bandia yaharibu mazao Mbozi
Send to a friend
Friday, 17 February 2012 21:03
0diggsdigg
Brandy Nelson,Mbozi
UONGOZI wa Serikali wilayani Mbozi, umesema mbolea bandia...
Jamani kunatabia inanikera katika jamii yetu
Utakuta ndugu yenu anaugua anakosa pesa ya kwenda hospitali , ndugu wanajikausha wakati uwezo wanao
wakumsaidia.
Akifa ndipo kila ndugu anjitia...
kulingana na kituo cha ITV taarifa ya habari jioni hii,tukio hili limetokea huko mkoani tabora na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoani humo,ambapo marehemu amefahamika kwa jina la Mipawa...
Kanda ya Kusini imependelewa kwa kuwa na Wabunge ambao wengi wao ni Mawaziri ambapo kwa Mkoa wa Mtwara: Mtwara Vijijini Mbunge wake ni Mh: Hawa Ghasia ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi...
Zanzibar ina:
Serikali yake
Raisi wake
Bendera yake
Wimbo wake wa taifa
Bank kuu- bank ya watu wa zanzibar
Katiba yake
Jeshi lake la ulinzi
Kilicho baki ni kuwa sarafu ya zanzibar.
Wito...
Mahembe Primary School head teacher in Kigoma Rural District Yahya Kassim teaches Standard IV pupils under a palm tree as captured by own correxpondent yesterday. (Photo: Correspondent Jockton...
msemaji wa ikulu,ktk kipindi cha jahazi,amesema nchi iko shwari kabisa,na imani ya wananchi kwa rais wao inazidi kukua kila cku!!tatizo la mfumuko wa bei sio tatizo la serikali ni tatizo la dunia...
Diwani wa kata ya kijitonyama (Dsm) ambaye pia ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kupitia CHADEMA Juma Athman Uloleulole, amedakwa na polisi na kufikishwa kituoni kwa kosa la...
Wana Jf Naomba niuluze swali
leo ktk BBC swahili tunaelezwa kuwa Tanzania ni nchi ya tatu Africa kuwa na madini mengi,lakini bado nchi zisizo na mali asili hiyo zinatuongoza ktk maswala ya uchumi...
Mara kadhaa nimekuwa nikipigiwa simu na namba 0901901901 ambayo ni automated call. Unapopokea simu hii unapatiwa maelezo ambayo huna haja wala shida nayo jambo ambalo kwangu mimi huwa naliona...
May it please wakuu wangu;
Kwa wale wapenzi wa mpira wanafahamu kuwa kesho ndio ule mtanange kati ya Yanga na Zamalak ambayo hii haiwezi kuwa hoja hata kidogo.
Hoja yangu ni kwamba Mechi hii...
Redio clauds fm inatoa matangazo ya kuwahamasisha tz wanaopenda kushiriki shindando hilo, wakajiandikishe multchoice na sehemu nyingine kadha wa kadha. serikali kupitia wizara ya habari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.