Eti ni kweli serikali imetenga mil.700?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Eti ni kweli serikali imetenga mil.700 kwa ajili ya kuua kunguru?
ni swali nauliza na wala sio taarifa rasmi.
 
hv ni kwel serikal imetenga Mil. 945 kwa ajili ya kununua kalamu za mawaziri? jaman na mi nauliza swali tu wala sio taarifa
 
Hvi ni kweli serikal imetenga billion 50 kwa ajili ya msoc wa jk pale magogoni?
 
Eti ni kweli serikali imetenga mil.700 kwa ajili ya kuua kunguru?
ni swali nauliza na wala sio taarifa rasmi.

inawezekana coz huku niliko naona kuna pikipiki zina matangazo ya kutokomeza kunguru duh ss if hiyo amount ni kama hiyo kwa nn wasingesema atakaekamata kunguru wawili ni elfu 5 mi naamini hata graduates wangeshiriki tena hata mwezi hautaisha hatutawaona tena hao kunguru
 
Mkuu aikaruwa wewe ndio great thinker..wengine naona wameniletea mzaha ...hii taarifa niliipata kutoka kwa watu wa ngazi za juu sema ndio hivyo nimeshindwa kuthibitisha..
hili dili la kukamata kunguru wangellitangaza hata mimi ningeshiriki.
 
SI vumilia tu,hii ndio JF bwana,eti nasikia serikali inatenga bil40 kila mwaka kwa ajili ya chai na makapeti?
 
Sijaisikia hii lakini kama kuna chembe ya ukweli kwenye hili suala basi tufikiri kidogo.
*Kukiwa na tatizo kubwa la udhibiti wa takataka na kuanzishwa majalala ovyo ovyo, tunategemea hiyo vita dhidi ya kunguru itafanikiwa wakati wanavutiwa kuzagaa kutokana na poor waste management hasa mijini? Misallocation of funds to its highest level.
*Pia tukumbuke hao kunguru hawako kwenye 'ecological structure' bila maana yoyote kwa hiyo kuwaua kwa wingi kunaweza kutokeza imbalance kwenye food chain na athari za kimazingira.Pia vita dhidi ya kunguru inaweza kuwaathiri na ndege wengine.
Mfano:
1.Balaa la wadudu kama nzige na viwavi jeshi linaweza kukumba sekta ya kilimo.
2.Mizoga inaweza kutapakaa sana kutokana na upungufu wa hawa ndege wanaokula mabaki ya viumbe wengi.

Kabla ya kuchukua uamuzi wa kupigana na kunguru kwa gharama ya Mil. 700 basi haya ni baadhi ya mambo yangepaswa kutiliwa maanani.
 
Na wajanja wa kuzila wapo humohumo, zitatumika mil 200 na zitakazobaki watu wanakula kuku.
 
Back
Top Bottom