Tanesco! Shame, shame shame!

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,587
9,324
Great thinkers, ninashangazwa na hili shirika la umeme, wanakata umeme hovyohovyo, bei ya umeme wamepandisha ili huduma ziboreshwe, kila kitu kimepanda bei sababu ya TANESCO.
Sasa wamekata umeme maeneo ya mbezi beach ni kila jumapili tunakaa bila umeme, ninajisikia hasira sana maana hakuna wanachofanya zaidi ya kutuumiza wananchi.
TANESCO inasubiri nini kubinafsishwa?
 
nipo morogoro jumapili ya pili hii hatuna umeme.nilijiandaa kuangalia emmanuel tv naona imekula kwangu
 
Back
Top Bottom