Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

...Hakuna anayeweza kupinga kuwa kipindi cha DK 45 kinachorushwa na ITV chini ya S.Semunyu kama mtayarishaji na mtangazaji kilivuta usikivu na hisia za watu sana wakati kinaanza.Na hii inatokana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
HAWA NDIO BINADAMU wa leo 1.Wakikukwepa ucjali,Ipo cku watakutafuta. 2.Wakikusengenya Nyamaza,Huenda watajifunza. 3.wakikununia,omba mungu ipo cku watakuchekea. 4.Wakikupongeza usiwaamini...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
wanajf kuna kimbunga kikubwa kimepita arusha sijui kimetoka wapi na sijajua madhara yaliyotokea...nadhan ni katrina
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kweli watanzania tunahitaji kukusanya kodi kwa maendeleo; lakini kwa utaratibu huu ulioanza hivi karibuni maeneo ya stendi kuu na stendi ya Viford (daladala) ni mpya na sidhani kama una tija au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MORE than 600, 000 Kenyans crossed over into Tanzania last year alone, East African Community minister Samuel Sitta said yesterday. Sitta said he expects the figures to go up following a...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
wapendwa wana jf nioneni niko live EA Tv natangaza biashara yangu ya nondo na bati, tapata wapi mambo hii kama sio Tanzania yetu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Mkazi wa Wilaya ya Longido ng'ombe watano na mbuzi ambaye ni miongoni mwa kaya 6,128 za wilaya hiyo, Monduli na Ngorongoro mkoani Arusha ambazo mifugo yao yote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waume nchini Kenya wanapanga kugomea vyakula vya mabibi zao kwa siku sita kutoka na kuongezeka kwa visa vya wanawake kuwapiga mabwana zao. Badala yake wanaume watakuwa wakila mahotelini na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tangu jana jioni. Kulikoni? Naona wachangiaji wengi hawapo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana Jamvi, Kwa viongozi wetu waliopo madarakani, hasa wale wa Kisiasa na wa Kuteuliwa. Kwa jinsi hali ya utendaji wa Serikali ulivyo kwa sasa, sina shaka kabisa kuwa imepoteza muelekeo, na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wote mlio kataa kwenda mabwepande angalieni juu kuna kitu kinakuja kwa wakazi wa Dar es salaam
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi Raisi ana kauli gani kuhusu kuumwa na kuujumiwa kwa waziri wake Dr Mwakyembe? Hii inanitia mashaka sababu ya Raisi watu kukaa kimya wakiti mtumishi wake anaangaika na police amalalamika bila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitendo cha mwanamuziki Nicki Minaj siku ya tuzo za Grammy, kuingia akiwa na ameambatana na mtu aliyeigiza kama Papa, Mkuu wa Kanisa Katoliki kinaendelea kuzua mjadala kila uchao. Uongozi wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nasikiliza itv watakuwa na kipindi jumatatu wakihojiaana na waziri wa viwanda na biashara mh chami..kwenye marudio..katika maelezo yake anaeleza mbinu zinazofanya serikali ya kikwete kuimarika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umewahi ona wapi, mahali gani na katika ukumbi gami WIMBO WA TAIFA UNAPIGWA DISCO?
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Taifa limepoteza uelekea,limekufa kiuchumi,kitamaduni na kisiasa pia , wanasiasa wanatawala kila sehemu bila ya kujali ni za kitaaluma na si za kisiasa.Siasa imeleta utumwa na kusababisha wizi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BBC imetangaza kuwa Raisi wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki ataongoza tume ya kuchunguza utajiri wa Afrika hasa madini ambao umepotelea ughaibuni(Ulaya na Amerika) tume hiyo haina kiongozi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi nini maana ya kupandisha nauli ya kivuko? Mimi leo nipo kwenye foleni tangu 5:45 asubuhi mpk muda huu wa saa 8:00 hata pakukatia ticket sijafika. Foleni haisogei kabisa, watu wanapita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ofa ya ngono inatolea bureee ktk club za usiku zilizoko maeneo ya Kanyama, Kanchembe na Chine ambapo walikutwa watu kama 200 hivi wakiwa wamepanga foleni kusubiri kupata ofa hiyo. Malaya mmoja...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
FAMILIA ya Rais Jakaya Kikwete imekana kuwa na nasaba na aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wilayani Simanjiro, Alhaj Omar Yufus Kariaki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom