Msaada jamani, Nifanyeje ili TV yangu isiwe inashika TBC? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani, Nifanyeje ili TV yangu isiwe inashika TBC?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimweli, Feb 19, 2012.

 1. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Naombeni msaada kwa hili tatizo nililonalo. Nataka TV yangu isiwe inashika TBC
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  Na mimi ni kama wewe.
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  Ha ha ha Nimesoma mara mbili nikajiuliza huy ni Jane_00 kwani unatumia Startimes, Zuku Tv (nna hisa hapa) Dstv ama ATN???

  Tumia zuku ni very affordable ni kama DSTV lakini ipo Africa for more than 60yrs ni cheap sana na kama unataka nyumba yako na we iwe na ungo inawezekana kwa elf 92 tu

   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hivi naweza kumiliki hiyo zuku bila kuweka dish.....?
   
 5. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  kimweli na paa KAKOJOE KALALE
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  lipia hili tangazo mkuu.....hahahahaaaa!!
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  tafuta king'amuzi ambacho hakishiki tbc
   
 8. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Du! Inapatikana wapi hiyo mkuu. Inabidi niipate hiyo cz seriously hawa jamaa wanaboa sana since atoke iliko bodi ya mikopa.
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkubwa twatwatwa, ukichukuliwa hatua za kinidhamu utalalamika?
   
 10. P

  Paul S.S Verified User

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  kuna option libao, just skip or lock

  elfu arubaini kwa mwezi na hakuna chaneli ya maana
   
 11. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama una DSTv unaweza uka block TBC using Parental Control.
   
 12. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  inaanza 18200 ni yaukweli kuliko hayo mataka taka yenu startimes

   
 13. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tbc na habari zao za kupokezana wanakera balaa. jamaa ubunifu f.
   
 14. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 802
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Iloweke kwnye maji.
   
 15. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  Dear Kimweli..kwa sasa tuna establish ofiice za huduma kwa wateja na mawakala..ila ukifika office za mawakalla kidogo huduma bei ina panda ila kama uko dar si vibaya ukifika Infotech place kawe hapa kwa maelezo zaidi ni Pay Tv inayotoa local products at the highest level..utapenda mkuu
   
 16. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  ha ha ha usinichekee ntakupa ofa bureee as u knw kimataifa huu ni mwaka wa mwisho lazima kila mtu awe katika mfumo wa digitali so kama una antenna yako chadema utajiju
   
 17. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 802
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Sasa hapo kakosea nini?mm leo nimetukanwa lakini hujatoa hata onyo moja!
   
 18. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Acha kufikili kama bata jombaaa!
   
 19. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kazi ndogo sana hiyo mkuu ila sema haujafunguka unatumia king'amuzi/receiver au antena??
  Kama unatumia receiver ni rahisi wewe idelet tu.

  Na kama unatumia antena inabidi useme unatumia tv ya aina gani ili upewe maelekezo kamili juu ya kuizuia.(futa)
  
   
 20. middo

  middo JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kama tv zenu znatatzo la kushika tbc basi jambo dogo sana shekhe wangu iloweke kwenye beseni la maji kama dk.45 nakuhakkshia huta iona tena tbc1 wala tbc fm
   
Loading...