Baada ya kuweka utaratibu wa stakabadhi gharani kwa lengo la kuboresha hali za wakulima hao. Msimu huu umekuwa tofauti sababu hadi kesho wamekaa na stakabadhi zao na hela hawajapata wakati...
Mtu keshakataa kinachofikiriwa na wengi kuhusu kuumwa kwa Dr Mwakiembe, Sasa bado mnajiuliza anaumwa nini wakati DCi anajua kila kitu.
Mbaneni aseme bayana
Leo nadiriki kusema kusema Serikali ya CCM inadhulumu wananchi, YAmenikuta leo sina hamu na nina hasira mbaya sana.
Leo majira ya saba nilikuwa nimepark pale TRA manzese kwa lengo la kulipia kodi...
Wakuu, nimesoma sana issue ya mbunge wa Kyela na naibu wa Wizara ya Ujenzi kuhusu sakata la ugonjwa unaosemekana umetokana na kulishwa sumu.
Nikakumbuka na sakata la katibu mkuu wa CCM Horace...
Habari zenu wana JF. Arusha ni moja ya sehemu yenye mkusanyiko wa mashamba makubwa ya maua. Mfano kiliflora, arusha blooms na comberoses. Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kutoka kwa wakazi...
UNYONYAJI NA UTUMWA MAMBOLEO UNAOFANYWA NA WAHINDI KWA WATANZANIA WASIO WAHINDI
WAHINDI NA UFISADI WA RASILIMALI WATU
Napenda kuchukuwa fursa hii adhiim kuwatanabaisha Watanzania hasa mawaziri wa...
Nawaomba wana JF tuorodheshe taasisi za umma zikiwemo pia za binafsi ambazo zinapata ruzuku ya Serikali, zinazotafunwa kwa kwenda mbele bila huruma kwa walalahoi na walipa kodi.
Kwa mfano mimi...
wana jf naomba kujua gharama ya kupanga nyumba nzima morogoro mjini,iwe na bed rooms 5-7,bath 5-7,gym,guest room,fence,full electricity,garden,eneo la kuweka kabanda ka kuku kwa ajiri ya kitoweo...
Nilikuwa naperuzi peruzi ndani ya youtube na nikagundua kuwa unapofanya search ya tanzania kikubwa utakachopata katika youtube ni bongo flavas na video za watu binafsi ambazo zinahusiana na...
Katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili jioni leo nimeona kuwa ile kampuni inayokamata magari ambayo yanayoegeshwa katika sehemu 'ambazo sizo', mkataba wake unaisha na hautaongezwa. Nimepokea...
Inasikitisha sana kwa tuwazaniao kuwa ndiyo wakombozi wa afya zetu kuendeleza upompompo kwa kiasi hicho cha kuendelea kuangamiza afya na uhai wa watu.Mara ya kwanza mlifanya upasuaji wa kichwa...
Ndugu Watanzania nikiwa mtanzania mwenye Imani thabiti napenda kuwahakikishia yakuwa Dr Harison Mwakiembe atapona, baada yakuwepo gumzo kubwa kila kona ya Tanzania at the last Dr Harson atapona...
Naipenda nchi yangu kiasi ambacho ni zaidi ya zaidi na nina uhakika Mungu ni shaidi katika hili. But kwa hali ya maisha (kiuchumi), kisiasa na kiuongozi ilivyo inanifanya nikate tamaa. Wananchi...
Wanajamii tafadhari napenda kufahamu mikopo ya makampuni haya ya BAYPOT na BLUE kama kweli mikopo yao inatija kwa wakopaji na vipi makato yake wakati wa kurudisha; hayamuumizi mkopaji ? Na kwa...
katika kipindi cha BBC kilichorushwa jana jioni (20-02-2012), kuna taarifa ya kuwa Tanzania imewekwa katika orodha ya BLACKLIST na hivyo HAIKOPESHEKI, NA UWEKEZAJI NI MGUMU. Kwa maelezo...
Wana JF nadhani mtakumbuka sana bomoabomoa ya miaka ya 1996 na kuendelea. Nakumbuka ilileta kizaazaa kweli mpaka ikageuzwa ni agenda ya kisiasa. Sasa naomba mnifahamishe kwa kuchangia. Je kuna...
Habari zenu,wakuu.awali ya yote napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa pumzi ya uhai baada ya mkasa wa jana,
wapendwa mliopo dar es salaam jana mida ya saa 3 ucku nilipanda daladala inayotoka...
Mimi nnavyoelewa wito nimsukumo wa dhati wakutenda jambo.Nikiwa na maana kazi zote nizawito nasiudaktari,uuguzi na uwalimu pekee ndio kazi zawito.Mbaya zaidi neno wito limekuwa kikwazo cha watu...
HUU NI UJUMBE WAKE KWENYE WALL YA FACEBOOK AMBAO AMEUBANDIKA AKIUJULISHA UMMA:
"Jumatano, tomorrow, nitakuwa PB (Power Breakfast) ya Clouds FM kuanzia saa 1.15 asubuhi nikizungumzia historia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.