Kigwangalla Kuongea PB ya Clouds FM Jumatano! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigwangalla Kuongea PB ya Clouds FM Jumatano!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zulqarnayn, Feb 21, 2012.

 1. Z

  Zulqarnayn Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HUU NI UJUMBE WAKE KWENYE WALL YA FACEBOOK AMBAO AMEUBANDIKA AKIUJULISHA UMMA:

  "Jumatano, tomorrow, nitakuwa PB (Power Breakfast) ya Clouds FM kuanzia saa 1.15 asubuhi nikizungumzia historia ya safari yangu kimaisha na kisiasa, mikakati yangu, ajenda yangu kwenye siasa na maisha n.k. Pia nitaongelea suala la Hoja zangu Binafsi, ya zamani ile ya Mgodi wa Nzega, na mpya, hii ya Ukosefu wa Ajira kwa Vijana na ile ya ujenzi wa nyumba za wafanyakazi kwa pesa za serikali/NHC na kuwakopesha/kuwauzia/kuwapangisha wafanyakazi kwa mikopo inayotokana na fedha za kwenye mifuko ya jamii wanazojiwekea kila mwezi. Wameniomba nigusie pia suala la mgomo wa madaktari uliopita, nimekubali kutoa maoni yangu!"
   
 2. J

  Jonathan Kiula JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  tunasubiria hizo nondo.
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Hana lolote huyu anatafuta umaarufu tu aende jimboni kwake akaongee na wapiga kura wake ambao wengi hawana access na radio tena namshangaa huyu gamba bunge limeisha anang'ang'ania dar es salaam kwani yeye ni mbunge wa hapa aondoke na mihoja yake iliyoza hapa
   
 4. c

  chama JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  politics at work!!

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 5. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Umefanya utafiti gani kujua kuwa wapiga kura wangu hawana Radio? Acha dharau Bro. Mimi nafanya kazi yangu na wewe fanya yako, mbona mimi sijasema wewe unatafuta nini?
   
 6. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ten out of ten for your comment Dr Khamis.

  sounds like very wise and intelligent men.
   
 7. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Thanx Ndg yangu, kuna watu just kwa kuwa wana itikadi tofauti na mimi basi kila kitu changu wana -hate!
   
 8. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dokta unakubalika sana,ni moja kati ya wabunge wachache umsiolalia kwenye itikadi za vyama vyenu,mnasimamia ukweli,big up uendelee hivyo
   
 9. m

  mubi JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Not only that people don't realize what they have until is gone, hasa Watanzania.Mind set zao zimekuwa poisoned wawe ni wenye wivu usio na tija kwa jamii...mifano kama kujipatia umaarufu, wakati wewe unatoa elimu kwa wengi na kuweza kutatua matatizo kama hayo ya ajira kwa kutumia ubunifu wako kuwakilisha serikalini.Mimi naona sisi ambao hatuko huko Bungeni ni vizuri tushiriane nawe ili tuweze kujikwamua at least kidogo basi.Wapenda prestige na ubinafsi , uchoyo na uvivu ni sisi Waafrika.... Nomba tujisahihishe ,tufanye kazi, tupendane, tusaidiane ili tuweze kufikia lengo fulani la maana, ingalau tutoke kwenye TEMBE basi.
   
 10. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kigwa ukipata nafasi naomba maoni yako kuhusu sakata la Mh Mwakyembe, hasa hasa kuhusu utawala bora na jinsi polisi wanavyoshughulikia zogo zima
   
 11. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  me too tafadhali.
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Dr Kigwangalla tupo pamoja mkuu,Taifa kwanza!
   
 13. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Dr, safi sana unachokifanya kama wakifanya kwa dhamira.

  Ili tu kukuongezea nondo, hebu pitia hii thread hapa chini kama ulikuwa bado na uone wenzetu Kenya wanavyojenga kwa mpangilio mzuri na nyumba za kisasa sana kwa wafanyakazi wao.

  Mwisho angalia hiyo link chini na uone jinsi mji wa Dar unavyoonekana kwa juu na jinsi ulivyo mbaya,

  Mengine nafikiri jamaa wengine watakuchangia zaidi. Kila la kheri na isiishie kuongea tu.

  Miji ya Kenya: https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/225589-kenyan-and-tanzanian-surburbs.html

  Picha Dar es salaam and Zanzibar: Dar es Salaam Aerial Photos - SkyscraperCity
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Usisahau kufafanua jinsi ulivyoiba jina la maskini wa watu Nzega
   
 15. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hivi nani kaajiriwa kuitangaza hii redio clouds hapa Jf,??
   
 16. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  kigwangalla hana ubavu mambo mengi amefyata mkia hivyo kwa baadhi yetu naona kapoteza mvuto kwa kiasi kikubwa labda atoke huko aliko kama ana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko kwa taifa na si kwa familia yake
   
 17. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Acha kuwa na hisia za kibaguzi. Inamaana wanaostahili kukishi DSM ni wazawa wa DSM pekee? Mbona wamejaa wageni wengi tu hapo Dar? Tanzania ni ya watanzania wote, uishi mwakaleli, ukiwa ni mchaga ama Kirua vunjo ukiwa mnyakyusa ni sawa tu. Mbona wewe unaishi na kufanya kazi DSM wakati si mzaramo?
  Pia ukiwa mbunge hupigiliwi misumari jimboni kwako pekee, una haki ya kutembelea mahali popote upendapo, na ni haki ya msingi ya kiraia kwa mujibu wa katiba.
   
Loading...