naulizia nyumba ya kupanga morogoro!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naulizia nyumba ya kupanga morogoro!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHAI CHUNGU, Feb 22, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  wana jf naomba kujua gharama ya kupanga nyumba nzima morogoro mjini,iwe na bed rooms 5-7,bath 5-7,gym,guest room,fence,full electricity,garden,eneo la kuweka kabanda ka kuku kwa ajiri ya kitoweo cha familia.
  Naombeni msaada coz dar inshakua ngumu so nnampango wa kusepa mwezi wa 7-9 this year.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  pia iwe na sitting 2,dining1,store,study!!
   
 3. d

  dguyana JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Piga # 0689826381 or 0659560279. Huyu dalali anaitwa Magawa ni balaaaaa hapa morogoro. Ukitaka hata mlima anakuuzia.
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Poa mkuu,
  Ngoja nimcall right now kisha ntakujulisha pia.
  M/mungu akupe maisha marefu inshaallah!
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Kama una uwezo wa kupanga nyumba ya aina hyo,kwa nin ucjenge yako tu mkuu?
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nina plan hiyo mkuu,but first nataka kujaribu life la moro,nikiona linalipa ntajenga moro!
   
Loading...