Bora ya wazungu mara 1000

ABUMAN

Member
Dec 8, 2010
52
7
UNYONYAJI NA UTUMWA MAMBOLEO UNAOFANYWA NA WAHINDI KWA WATANZANIA WASIO WAHINDI
WAHINDI NA UFISADI WA RASILIMALI WATU
Napenda kuchukuwa fursa hii adhiim kuwatanabaisha Watanzania hasa mawaziri wa wizara husika juu ya madhila yanayotokana na ndugu zetu Wahindi kwa Watanzania wenzao ambao si Wahindi.Hili lisipofanyiwa kazi sikumoja yatatokea kama yale yaliyowahi tokea afrika ya kusini,mara baada ya wazawa kuona nafasi za kazi nyingi wanapewa wageni na wao wakishinda vijiweni wakati sifa na uwezo wa kufanya hizo kazi wakiwa nao.Siku hizi imefikia wakati inatangazwa nafasi ya kazi kama ilivyotokea katika kampuni moja ya madawa Tanga ambayo iliorodhesha miongoni mwa sifa ya mwombaji awe anajua kuzungumza kihindi,sasa huo kama si ubaguzi nini hasa.Serikali inahitajika kuwaandalia sera Wananchi wake amabayo itapelekea kuwawezesha kupata kazi wao katika makampuni mbali mbali ya wawekezaji kutokana na sifa zao za kitaaluma na uwezo wao,na pasiwepo mgeni kutoka nje kuchukua nafasi ya kazi ambayo wapo Watanzania wenye sifa na uwezo wa kuifanya hiyo kazi tena kwa ufanisi mkubwa kwa kufanya hivyo Serikali itakuwa inalinda soko la ajira kwa kutoa kipaumbele kwa Wananchi wake kwanza na pakikosekana mwanachi mwenye sifa ndani ya Tanzania paangaliwe kwa Watanzaniia walio nje na hapo pia pakikosekana ndio angaliwe raia wa kigeni,hili pia litaweza kuepusha athari za Wahindi kuitawala Tanzania kama sehem zinazoshikilia uchumi wa nchi yetu zitakuwa zimeachwa zote ziwe mikoni mwao kama inavyotokea kwa baadhi ya mataifa.
Wahindi kwa maelfu wamejazana katika ofisi nyingi hasa za Makampuni ya Wahindi wenzao au ya waarabu,ni nadra kwa Mhindi kukutwa katika ofisi ya Mzungu au Muafrika kutokana na kutokubalika kwa hulka zao hasa hulka ya fitna,Wahindi wanaubaguzi uliochupa mipaka na wanapendelea sana fitna na majungu kiasi kwamba kila ambaye ameshawahi kufanya kazi katika kampuni inayomilikiwa na Wahindi au kuwa na wafanyakazi Wahindi ataungana na Mimi,utakuta mfanyakazi asiye Mhindi anatumika kama Mashine na si kama Binaadam,hatakiwi kupata mapumziko ya haina yoyote akiwa kazini,hatakiwi kula wala kwenda msalani,na kazi yoyote nzuri basi hiyo imefanywa na Mhindi na hata kama imefanywa na asiye Mhindi na kazi yoyote ile yenye mwishilio mbaya hata kama imefanywa na Mhindi atatafutwa wa kusukumiwa nayo Mhindi huwa ni mtu kamili hakosei,kuna kampuni moja ya Wahindi ipo katika barabara ya Nyerere ukipita muda wa asubuhi wale wafanyakazi wasio wahindi wanakunywa chai wakiwa wamesimama tena wakiwa nje na hiyo chai wanahudumiwa na Mama ntilie kupitia nje ya uzio Wahindi wakiwa ndani.Kuna kazi nyingi za kitalaam zinafanywa na wasio Wahindi ila pesa anayolipwa huyo aliyoifanya ni ndogo ukilinganisha na pesa inayoingia katika kampuni hiyo ya Wahindi,na hili linatokana na mizengwe ambayo Wahindi wengi wamekuwa wakiitoa,kwa sasa Tanzania karibu taaluma zote zimevamiwa na Wahindi ni taaluma chache sana ambazo bado zimesalimika kwa kiasi fulani ingawa si sana,Wahindi wengi wanatumia vyeti vinavyotia mashaka katika kujipatia kazi za kitaalam na hili limefanya baadhi ya nchi za mashariki ya kati wameanza kukataa wafanyakazi toka India kutokana na utumiaji wa vyeti hivyo,na katika hili Serikali inahitajika kulifuatilia kuhakiki hivyo vyeti na hili linawezekana kwa kuwatumia watanzania waadilifu kuandaa sera hiyo na kuisimamia,kwani uhakiki wav yeti kama unafanyika katika taasisi za umma lengo na madhumuni ni kuwa na watu waliokabidhiwa majukumu ambao na sifa na uwezo kutekeleza hayo majukumu kwa ustawi wa taifa letu na kwa kuzingatia mchango wa taasisi binafsi katika ukuaji wa taifa ni muhimu kwa serikali kulifanyia kazi hili. Taaluma ambayo imeathirika sana na wafanyakazi kutoka India ni taaluma ya habari na mawasiliano na tatizo hili linawakosesha Watanzania wengi wenye sifa kupata ajira,tatizo lengine ni la kampuni nyingi za Wahindi kutozingatia na kufuata sheria na kanuni za ajira,na hata ikitokea wafanyakazi wakafuatilia watu wa wizara husika wakija katika kampuni husika moja ya hulka ya Kihindi ya mizengwe inatumika na Watanzania wengi wanaendelea kuumia kutokana na tamaa ya watu wachache wanaojali maslahi ya matumbo yao na kwa upande wa maslahi kampuni za Wahindi zinaongoza kwa kutoa maslahi duni kwa wafanyakazi wasio Wahindi na ni kampuni hizo hizo ndizo zinazongoza kwa kuwa na kesi za kufukuza wafanyazi tena bila ya kufuata taratibu,kama msomaji utataka kulifanyia tahakiki hili tembelea ofisi za mabaraza ya usuluhishi wizara ya kazi au ofisi za NSSF za wilaya mbalimbali utakuta wengi ya wafanyakazi wenye madai ni kutoka katika hizo kampuni za Wahindi.Wengi ya Wahindi katika hizo ofisi hawana vibali halali vya kufanyia kazi hapa Tanzania,na mbali ya kukosa sifa halali ya kazi ya kitaalam wanayofanya,mara nyingi huwezi kuwakuta kwa miguu au katika mabasi ya daladala Wahindi hao huwa wanatembea katika makundi kuanzia wawili na kuendelea wakiwa katika magari ya hizo kampuni au pikipiki hasa za kutoka india na hili linafanyanyika kukwepa kukamatwa na watu wa idara ya uhamiaji kati ya hao kunakuwa na mmoja ambaye anakuwa ameshaanza kukifaham Kiswahili na ikitokea sababu ya kupelekea kukamatwa Wahindi huwa wazuri na wepesi wa kutumia hulka ya zengwe,na hata ikitokea watu wa idara ya uhamiaji kupata taarifa ya kuwepo Wahindi wanaoishi kinyume na taratibu na sheria za nchi huoni wakiwachukulia hatua,Wahindi walio wengi wana uraia zaidi wa nchi moja,utakuta mhindi kutoka India anapassport ya Tanzania wakati Mtanzania mzawa hana na linalowapelekea wafanikiwe ni tabia yao ya kutumia zengwe.
Kwa upande wa ulipaji kodi na misamaha na marejesho pia serikali inatakiwa iwe makini sana kwa makampuni haya kwa kuwa tabia na hulka zao zinatia shaka sana na hasa kwa tabia ya kutokupenda kuwaajiri Watanzania ambao si Wahindi,na pia katika kodi ya pesa ya pato la Wahindi wenye kufanya kazi wanapotuma pesa kwenda inchini India pia upungufu wa pesa za kigeni hasa dola ya Kimarekani unachangiwa na kiasi kikubwa na utumwaji wa pesa hizo kwa njia stahiki na njia batili kwenda India na katika benki za nchi mbalimbali na hili serikali inatakiwa kuwashirikisha wazalendo wenye uchungu na uadilifu mkubwa na wenye kutanguliza maslahi ya nchi na si vinginevyo.
Upande wa ajira mbali na makampuni mengi ya Wahindi kutanguliza uhindi pia katika makapuni mengi ambayo yameshikiliwa na kuendeshwa na Wahindi wamiliki wakiwa si Wahindi hasa makampuni ya Waarabu kama ilivyo kampuni moja ya uuzaji wa mazao ya nafaka na matunda na koni Wahindi wamekuwa wakitumia fursa zao kuwafukuzisha kazi wafanyakazi ambao si Wahindi na nafasi hizo kuchukuliwa na Wahindi toka India na hili limekuwa likifanyika na athari imeshakuwa kubwa kupita haya maelezo,na kampuni nyingi ambazo awali hazikuwa na Wahindi mara baada ya kuchukuliwa au kuwa na wafanyakazi Wahindi maslahi ya wafanyakazi yameshuka badala ya kupanda mfano kuna kampuni moja ya Ulinzi yenye makao makuu Kinondoni ambayo mwanzoni ilikuwa inamilikiwa na Wazungu mara baada ya kuchukiliwa na Wahindi mambo yamebadilika na yamekuwa magumu hasa kwa walinzi ambao awali walikuwa wanalipwa mshahara mkubwa lakini baada ya kuchukuliwa na Wahindi malipo hivi sasa ni nusu ya ule mshahara wa zamani na mazingira ya kazi yakiwa yaleyale na mara nyengine ugumu wa kazi ukiongezeka.
Athari ya Wahindi imekuwa kubwa katika idara mbalimbali na imepelekea Watanzania wengi wenye makampuni mbalimmbali ambao si Wahindi kukosa zabuni mbali mbali kutokana na kukosa hulka kama makampuni mengi ya Wahindi yanavyofanya na hili limetamalaki katika idara nyingi za serikali.
Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu ni kutanguliza uadilifu katika kuyatekeleza majukumu yetu ya kila siku na si vinginevyo na kuwaangamiza Watanzania wenzetu wasio na hatia katika kupata haki mbali mbali kama wanavyopata Wahindi kupata haki za watu wengine kwani malipo yake ni kuuza utu wetu na uhuru wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom