Wamiliki wa mashamba ya maua hufukuza mvua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamiliki wa mashamba ya maua hufukuza mvua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Captain22, Feb 22, 2012.

 1. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wana JF. Arusha ni moja ya sehemu yenye mkusanyiko wa mashamba makubwa ya maua. Mfano kiliflora, arusha blooms na comberoses. Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kutoka kwa wakazi wa karibu na mashamba hayo kuwa, hawapati mvua katika majira ya kawaida. Wakazi wa maeneo hayo wanadai kuwa wamiliki wa mashamba ya maua hurusha hewani aina fulani ya bomu ambalo hufukuza mvua. Swali langu ni je ni kweli technologia hiyo ipo na inatumika? Asanteni kwa michango endelevu
   
Loading...