Wana JF,
Kwa kutambua unyeti wa nafasi hii ya uwakilishi katika Bunge la Afrika mashariki; naomba tujielekeze katika uhalisia na sio hisia au siasa zenye chuki!! Miongoni mwa vijana wetu...
**Story of Appreciation**
One young academically excellent person went to apply for a managerial position in a big company.
He passed the first interview; the director did the last interview...
salam kwenu wadau !
Nimejikuta nikimfananisha sugu kwa kumuita ruge b kwa kutizama maoni ya wadau wengi wanaolaumu kwa maamuzi aliyochukua ndg j. Mbilinyi kwa kuungana na mh. Ruge.
Wengi wanaona...
Wadau muda mfupi uliopita,Waziri wa Viwanda na Biashara Mh.Cyril Chami akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Malongo na msafara wao wamefanya ziara fupi katika kiwanda cha Lodhia Steel...
ufisadi wa kutisha MALIASILI,
Kamati ya Bunge yabaini matumizi holela ya fedha,wizara yakiri kutofahamu idadi ya watalii waingiao chini,yapata hati chafu miaka mitatu mfululizo,
Akifafanua zaidi...
Rosemary Kimaro
Ombi kwa marafiki zangu wote facebook!naomba sana hakikisha una kitambulisho chako cha kupigia kura,kumbuka serikali inaundwa na wewe raia wa tanzania,nawaomba kabisa usikubali...
Taarifa:
kwanza poleni na samahanini kwa hali ya sintofahamu iliyotokea leo kutokana na taarifa za ghafla za usuluhishi kati yetu na Ruge/Clouds fm, ni kutokana na unyeti wa issue yenyewe ilibidi...
Habari wadau,Km mfanyakazi wa Serikali natoa hoja ya sisi wafanyakazi wa Serikalini tuhame kuitumia NMB kupitishia mishahara yetu kwani uongozi na wafanyakazi wameonesha kushindwa au kuzidiwa na...
hivi hawa kina ras makunja wanaruhusiwa kuua au wanachotakiwa kuvunja mguu au mkono sijui sheria inasemaje hapa maana kila maandamano unakuta wanaua raia kwa risasi za moto ubinadamu upo kweli...
Katika kile kinachoonekana kama kutafuta utakaso baada ya kubaniwa mjengoni,mzee EL amekuwa akizungukia nyumba za ibada hasa makanisa ili kujaribu angalau kurudisha uhai wake kijamii hasa baada ya...
Hivi sasa mkoani Ruvuma hususani manispaa ya Songea kumetokea wimbi kubwa la majambazi wanaoua wananchi.Mpaka hivi sasa ninapoandika thread hii watu 9 wameshapoteza maisha yao.Chanzo kikubwa cha...
Jana katika kipindi cha je tutafika channel ten kinachoongozwa na Makwaiya
Nimevutiwa sana na hoja za huyu kijana Sabato akiwa na makada Mzee Butiku na Kibamba
Ambaye aliieleza wazi mtazamo...
Kuna mgomo wa madereva ulioanza toka saa nne asubuhi leo mpaka muda huu hakuna gari yeyote ya utalii inaweza kupita eneo la Oldupai, mpaka sasa magari zaidi ya 100 yameshindwa kuendelea na safari...
Hili jambo linasikitisha kabisa mpaka leo tunasubiri kusomewa habari saa mbili za usiku au saa moja. Kuna tukio linatokea huko songea na tunasikia imekuwa tafrani lakini chombo chetu kama TBC sasa...
Habari wakuu,
Mnamo mwaka 1997 aliyekuwa katibu mkuu wa CCM marehemu Horace Kolimba aliwahi kutoa kauli kwamba CCM haikuwa na dira wala mwelekeo. Kauli ambayo vigogo wa juu wa CCM walikuja juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.