Taasisi zinazotafunwa bila huruma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taasisi zinazotafunwa bila huruma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Samsindima, Feb 22, 2012.

 1. S

  Samsindima Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawaomba wana JF tuorodheshe taasisi za umma zikiwemo pia za binafsi ambazo zinapata ruzuku ya Serikali, zinazotafunwa kwa kwenda mbele bila huruma kwa walalahoi na walipa kodi.
  Kwa mfano mimi sijaona kitu kilichofanywa na kutekelezwa na watafiti wa samaki licha ya kulamba pesa.
   
Loading...