Dr H. Mwakiembe atapona na mtashangaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr H. Mwakiembe atapona na mtashangaa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TumainiEl, Feb 21, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Ndugu Watanzania nikiwa mtanzania mwenye Imani thabiti napenda kuwahakikishia yakuwa Dr Harison Mwakiembe atapona, baada yakuwepo gumzo kubwa kila kona ya Tanzania at the last Dr Harson atapona, pamoja yale ametendewa kama ametegwa ama wamefanyaje ila Mungu alie lifanya Taifa la Tanzania anataka watanzania na dunia kuwa yupo Mungu alie Hai. Dr Harson si wakwanza kupita ktk mapito mazito ila ilimpasa kuyapita ili Mungu akatukuzwe na wale ambao ni Majambaz wa Taifa ili wakajuwe Hawawezi kushindana na Mungu Alie Hai.

  Ndugu watanzania ninapenda kuwatia moyo nakuwa ambia msitegeme kusikia wala kusubiri kifo cha Dr Mwakiembe ila chakushangaza mtavisikia vifo vya watu hamkuwategemea ambao yawezekana wakawa ktk kundi lile la mashaka! Tanzania inaenda kupita kipindi kigumu cha mabadiliko lakini after that! Taifa jipya litazaliwa ndani ya Tanzania! Kila chemi chemi za Baraka zitashuka kwa Taifa hili na badala yakulia tutacheka. Lamsing tumuombe Mungu Rais wa Jamuhur ya Muungano wa Tanzania ili akaweze kutekeleza mabadiliko haya magumu kwake.

  Anaitaji duwa na sala za kila Mtu pia watu wa usalama hasa kikosi maalumu cha Rais nilazima mumlinde Rais wa sasa kwa gharama yeyote ile watanzania tusiogope kodi yetu kutumika kumlinda rais wetu maana anapaswa kulindwa tena sana. Tahadhari msimwache Rais kula kusalimiana,kufanya jambo lolote bila usalama kuwa karibu. Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki viongonzi na wananchi wa Tanzania!

  Amen!
   
 2. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  hivi wapiiga kura wake wa kyela na mbeya in general wana hisia gani kwa haya yanayofanyika kwa viongozi wao wa kuchaguliwa?
   
 3. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Nika Mandela kufungwa maisha ila after25yr akawa huru nadhan S. A walifurah sana. Ndivyo itakavyokuwa kwa wananch wa Kiela kusikia mbunge wao kapona.
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  eti wakuu, .............................huyu ndiye mwakyembe mpya??........................[​IMG]........................... dah!!.................., kweli kabisa anastahili maombi....................
   
 5. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 2,002
  Trophy Points: 280
  Mungu aliumba uranium,binadamu akaitumia kutengeneza bomu la atomiki kwanini uranium haitengenezi saa?
   
 6. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Atapona!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  hAPA ndipo roho ya thread ilipokaa!
  Kyela wanajifanya kuwa ni ccm damdam...sijui wana lipi la kuendelea kuiamini ccm kwa hapo!
  Ilitakiwa ccm wakusanyike kumwombea apone kama wanahisi ni ugonjwa wa Mungu, na kama wanahisi mkono wa mtu basi waandamane kumlaani!..lakini kukaa kimya kama walivyo, ni kichekesho!
  MwakyembeSema(2).jpg
   
 8. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  We mganga wa kienyeji? au mtabiri!
   
 9. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kupona atapona.

  swali, Baba Ridhiwani atawatimua kweli kina E.L au wanatuzengua tuu??

  ushauri wangu kwa mwakyembe awe makini sana cause inaonekana ni siriazi tatizo, kuona mtu amekuwa mweupe gafla na ajatumia caro light.?

  mafisadi wananguvu aisee bwashee.
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Hivi siku hizi Mungu anachezewa kweli yaani mtu amfanye mwenzake namna hii halafu kila siku yuko makanisani kuendesha harambee kwa hela iliyojaa damu za watu wasio na hatia.. Ehe Mweyezi Mungu mlaani haramia huyu anayeutafuta urais kwa kuua wenzake.
   
 11. S

  Shembago JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atapona katika Jina moja lililo Kuu na damu takatifu iliyomwagika pale Kalvari,Yaani Jina la Yesu!
  Mwakyembe Pona katika Jina la Yesu! Wote JF semeni Amen!
   
 12. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  amina!
   
 13. t

  tyadcodar Senior Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jAMANI MAOMBI NI YA KILA MTU ILA THREAD HII NI KUWA WATU WA KYELA WANASEMAJE?CCM NI WAUWAJI BADO WANAAMINI CCM
   
 14. l

  laleo Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingawa namuonea huruma Dr Mwakyemebe kwa yaliyo mkuta(Mungu amponye mapema) si vyema kunyoshea watu vidole na kusema ni yule.Na siku mkigundua si yeye????? Mungu awasamehe wote wanawahukumu wenzao kwa kutumia umbea zaidi ya ukweli?
   
 15. Kitaja

  Kitaja JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 2,690
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Kimya kingi kina mshindo mkuu! sasa hivi wana kyela wanamuombea kamanda wao apone hilo ndo la msingi kwao kwa wakati huu. ila utafika wakati watajitokeza kudai haki itendeke na ndipo hao wanaodhani wanaweza kufanya lolote ndani ya nchi bila kuchukuliwa hatua watatamani ardhi iwameze.... labda wakimbie nchi!
   
 16. R

  RUTARE Senior Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure! umeanza kuweka imani kwa Mungu unamalizia kuwategemea walinzi hujui kama neno la Mungu linasema "amelaaniwa amtegemeaye manadamu?" Yeremia 17:5 na Nyerere alisema mkiona tumenza kujiimarishia ulinzi mjue tumeanza kuwaibia. sasa naona na wewe kwa njia moja ama nyingine unataka kuanzisha wizi/ubadhilifu wa mali ya umma/kodi ya watanzania. Je, maraisi waliouawa hawakuwa na walinzi? mwamini Mungu awape hekima na kibali viongozi mbele ya wananchi ifike wakati badala ya kuongeza ulinzi walinzi waondolewe kabisa wakafanye kazi zingine, watu zaidi ya 100 wanalinda mtu mmoja wangefanya shughuli zingine za kimaendeleo unaonaje? kweli "watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa" Hosea 4:6. Lakini "mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka huru" Yohana 8:32. hapo hakuna cha ulinzi kwani kweli inajilinda yenyewe.
   
 17. F

  FUSO JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,878
  Likes Received: 2,343
  Trophy Points: 280
  upiganaji ndani ya ccm una risk nyingi sana.
   
 18. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Utapata majibu wakati huo ukifika.
   
 19. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mungu akujalie upone na uweze kuwasamehe maadui wako
   
 20. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,896
  Likes Received: 1,657
  Trophy Points: 280
  Unajuwa ukiijuwa kweli utawekwa huru. Nilazima ujuwe maana ya kiongoz ktk Kibiblia.. Rais anahaki yakulindwa 100%. K.
   
Loading...