DCI Manumba anajua msiumize vichwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DCI Manumba anajua msiumize vichwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAGEUZI KWELI, Feb 22, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Mtu keshakataa kinachofikiriwa na wengi kuhusu kuumwa kwa Dr Mwakiembe, Sasa bado mnajiuliza anaumwa nini wakati DCi anajua kila kitu.
  Mbaneni aseme bayana
   
 2. S

  Soyinkwa Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Upo sawa
   
 3. S

  Simcaesor Senior Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumsubiri Manumba atakulupuka tu siku huzi za jirani ni kawaida ya viongizi wa ovyo kukurupuka
   
 4. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Manumba laana na ikuue kufa kabisa ulimtegeshea dr slaa vinasa sauti akachomoa hii nchi siyo ya kwako.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Manumba has to be suspect No.1
   
 6. I

  Idofi JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 1,541
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  we manumba na ulaaniwe wewe na kizazi chako cha nyoka na mafisadi waliokutuma, siku ya kiama nyie ndio mtakua kuni kule jehanam
   
 7. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kaka una hasira kama mimi ila mwenzio nimeshindwa kutamka kama wewe, thanks

   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mamumba si kazi yake kutangaza ugonjwa wa mtu, Manumba kazi yake kuchunguza uhaini, kisha sema sio sumu kwa mujibu wa madaktari waliofanya uchunguzi. Ni Mwakyembe wa kusema anachoumwa.

  Kwa mtazamo wangu, Mwakayembea ana ngoma na hizo no compications za ngoma. Na hiyo yote ni laana ya Mungu kwa kuwatesa wa Tanzania kwa uongo wake uliopelekea mitambo ipo lakini kutofanyishwa kazi huku watu wakiteseka na wengine kufa (incubators).

  Sasa anaiona joto ya jiwe. Mbona mitambo hiyo hiyo kwa sasa inafanya kazi na yeye yupo kimya? Sidhani kama kuna mmoja hapa anaweza akashinda na mama kilintoni. Cheza na mkeo nyumbani usicheze na Mke wa Kilintoni. Kuja kwake tu, mitambo imewaka, na kila mmoja kimyaaa.

  Hata Mzee Mwanakijiji aliyepiga zumari sana kuhusu Dowans sasa hivi kaufyata amebaki na hekaya zake za kula kuliwa. Teh teh teh teh.
   
 9. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Sijui na sina pa kujihakikishia kuwa Mwakyembe ana VVU. Suppose sasa angekuwa hana VVU,ingetumika njia gani ya kumuadabisha mbali na sumu?

  Au sumu hiyohiyo halafu we ungekuja JF na kusema kalaanika? Au ungesema kuna waliochukizwa na matatizo ya umeme yasiyokwisha kwa hiyo wakaamua kumloga?

  Hiyo "alibi" mliyotumia, was perfect one... Good job!
   
Loading...