Codon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2011
- 628
- 93
Mimi nnavyoelewa wito nimsukumo wa dhati wakutenda jambo.Nikiwa na maana kazi zote nizawito nasiudaktari,uuguzi na uwalimu pekee ndio kazi zawito.Mbaya zaidi neno wito limekuwa kikwazo cha watu katika sekta tajwa hapo juu kulipwa kiduchu,kufanyakazi ktk mazingira magumu mno!Hizi nikazi za Utu nasi Wito tu!Mwalimu akiamua kuzalisha majambazi anaweza!