Kama mwakyembe amelishwa sumu hata kolimba pia.... Matukio yao yanafanana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mwakyembe amelishwa sumu hata kolimba pia.... Matukio yao yanafanana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malyenge, Feb 22, 2012.

 1. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,398
  Likes Received: 1,364
  Trophy Points: 280
  Wakuu, nimesoma sana issue ya mbunge wa Kyela na naibu wa Wizara ya Ujenzi kuhusu sakata la ugonjwa unaosemekana umetokana na kulishwa sumu. Nikakumbuka na sakata la katibu mkuu wa CCM Horace Kolimba aliyefariki mwaka 1997 mara tu alipomaliza kuhojiwa juu ya tuhuma alizotoa kwamba "CCM Haina Dira wala Mwelekeo". kauli ambayo ilimgharimu maisha yake mpaka umauti. Vyombo vya habari wakati huo viliandika sana kuhusu utata wa kifo cha Kolimba mpaka vikahusisha kifo chake kimetokana na "mkono wa ccm". Na ndipo Mwalimu Nyerere aliposimama na kusema kuwa "CCM hakuna wachawi" kifo cha kolimba ni cha kawaida.

  Naanza kupata mwanga kwamba yawezekana CCM na serikali ni mafia wakubwa! Ni wauwaji pindi wanapogundua kuna mtu anatishia kuwanyang'anya ulaji.
  Namalizia kwa kusema kuwa ikiwa Mwakyembe amelishwa sumu, basi hata Kolimba, Imrani Kombe nao waliuawa na serikali!!!!
   
Loading...