Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha Alipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya Wizara ya Mambo ya Ndani katika kipindi cha Miaka 50 ya Uhuru Hotuba ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na vurugu, maandamano na mauaji yaliyotokea jana Wilayani Songea, kuna habari nilizozipata jioni hii ni kwamba Police wanaendelea na msako Wilayani hapo na kusambaratisha aina ya...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
hata cku moja nchi haiwezi kuendelea kwa kila jambo kuundiwa tume,ambazo mapendekezo yake hayafanyiwi kazi.!waziri mkuu ameunda tume ya kuchukunguza mgogoro wa ardhi huko shinyanga,na chanzo cha...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
wana JF tokea mgomo utokee mpaka sasa Dr 37 wameondoka na nilikua naongea na dr mmoja nae passport kaikamata na kutimiza idadi ya 38. Source: daktari niliyekua naongea nae hapa uhamiaji ...
3 Reactions
64 Replies
7K Views
wameanza kukata 8% tofauti na makubalianop ya awali ya kurejesha kwa kipindi cha miaka kumi. Mi kwa mfano baada ya kuanza kazi walianza kunikata sh. 17,000 kwa mwezi ili baada ya miaka kumi niwe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Clouds FM wameanza promotion ya fiesta ya dar leo ikiwa ni siku moja baada ya sugu kupatana na ruge,mkumbuke fiesta ya mwaka jana ili-affectika sana kimapato kwa ajili ya same day sugu walikua...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wazee wa Arumeru wametishia Kumtoa Roho Mbunge GodBLESS Lema(CHADEMA).endapo ataenda Arumeru,kitendo hicho kimewakera kwa maneno aliyotamka ambayo yaliwaudhi. Wenye hbr kamili watatuelewesha...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Swali la kwanza: Wanafunzi kuandika matusi na bongo fleva kwenye mitihani ya kumaliza kidato cha nne Jibu: Wafungulie mashitaka kwa kutukana na wachunguzwe akili zao..... really?? Swali la pili...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
sijapata habari kamili. nasikia kuna meli imezama mida ya saa tatu leo ziwa victoria. mwenye habari p'se atusaidie hasa watu wa mwanza.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tangu kuanza kwa harakati hizi za vyma vingi nilijisemea moyoni lazima niongeze uzazi ambao utasaidia mageuzi ya haraka hapa Tanzania, baada ya kuona mafisadi wanapandikiza watoto wao kwenye...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakati jana polisi ikijeruhi na kuwaua baadhi raia waliopinga kuuwawa kwa wenzao na kinachosemekana kikundi cha siri toka msumbiji, wananchi wa eneo la mshangano wamemkamata raia m1 wa msumbiji...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Yapata mwezi mmoja tangu tusikie juu ya uvumi wa gawio la bonus lakini haiko wazi na inasemekana tutaichukulia bank. Jee hii ni kwa hifadhi zote au wengine watachukulia dirishani? Na ni kwa nini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aishi miezi miwili bila kula Picha halisi ya tukio Umea Sweden, Mwanamume mwenye umri wa miaka 45 ameokolewa akiwa hai baada ya kunaswa na theruji. Tukio hilo limejulikana na watu wanaopita...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumeibuka mjadala mkali kuhusu sumu aliotiliwa Mhe. Harrison Mwakyembe; na inaonekana Polisi wetu hawana uwezo wa kukumbuka au kwa maksudi, wanapuuza matukio ya wakubwa kutiliana sumu. Hii ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya katika kufuatilia mwenendo wa siasa na uongozi nchini mwetu nimegundua katika matatizo mengi tuliyonayo moja ya vyanzo vya matatizo ni la kufanya maamuzi. Kwa lugha ya kimomdbo tunasema...
9 Reactions
25 Replies
6K Views
Leo nimepita manzese TIP TOP mtaa wa migombani barabara inayoelekea nyumba ya kulala wageni ya mjapani na nyinginezo nimeshangazwa kuona UJENZI HOLELA katika zama hizi za kupanga miji nkajaribu...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Tanesco ndo wameanza tena mgao wao au vp? Maana umeme haushikiki kwanza uko juu alaf wanakata,yaani ni aibu kwa nchi kusikika ikilia eti shida ya umeme! AIBU
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli kabisa sisi ni wazalendo wa kweli na nchi yetu lakini sasa tunavunjwa nguvu na baadhi ya watendaji wa hidala husika , kweli tuna uchungu sana pesa za serikari zilizotumika kuwasomesha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Please if you have a link help....i want to download this
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Sakata la mauaji ya waandamanaji Songea limezua utata mtupu kwenye ofisi za serikali wakitofautiana kwenye idadi ya waliokufa. Jeshi la polisi limesema-Wawili wafa then 10 wajeruhiwa. Ofisi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom