Nimeipendaa hii HOJA ya Dk Slaa kwa Kikwete tazama na picha pia

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Soma hapa

Slaa: Hakuna kama Rais Kikwete

jk na slaa.jpg
 
Ushabiki wa kisiasa kwangu mimi ni **** tu. Hi m2 kuva nguo zenye alama za taifa ni utaifa au maamuzi binafsi.
 
Watu JF mapovu yanawatoka kumbe wenyewe washkaji!!Duh!Napenda sana siasa za bongo!!
 
Huyo mzee ni kigeu geu sana. Anaonekana ni mtu asiye na msimamo na mtu asiyeweza kusimamia anachokiamini.
 
Huyo mzee ni kigeu geu sana. Anaonekana ni mtu asiye na msimamo na mtu asiyeweza kusimamia anachokiamini.

Hakika wewe ni mchochezi, mtu usiyependa maelewano ktk jamii. nalazimika kuamini unalipwa kwa kueneza chuki dhidi ya watanzania.
 
kuna mtu aliwahi kusema humu JF kuwa siasa za bongo ni kama maigizo!

Watu wanatafuta LIFE tu si Dk Slaa si Dk kikwete basi.Hapa JF watu wanatoana ngeu kwa ushabiki wa CCM na CDM wakati viomngozi wao lao moja.

wana CDM mlioko humu fungua macho,jirudi.
 
Siasa sio ugomvi,Dk Slaa alishawahi kusema maaslahi ya Taifa Kwanza,JK nae ameshasoma alama za nyakati kuwa akiwang'ang'ania watu kama Nape na Mzee Mkama nchi itaenda kubaya,si umeona Muswada wa katiba JK alivyowapinga chenga vichwa maji wakina Nape na Babu yake Mkama?TANZANIA KWANZA JAMANI!
 
Daaah...Wadau iyo kali
lakini kumbukeni
"hate cannot drive out hate only love can do that"by martin luther king.
So let them think about tz.
 
KAMA KWELI KUNA HOJA YA NAMNA HIYO TOKA KWA DOKTA SLAA,inabidi ifanyiwe utafiti,itakuwa na jinai kwa wanaojua kusoma katikati ya mistari,hakuna kama... kwa ujinga,hakuna kama ... kwa uzembe,hakuna kama... kwa ujanja,hakuna kama... ni nyingi mno ambazo ni +ve na -ve,kwa nimjuavyo dr slaa sijui kama hamna kama... ni sifa kwa jamaa.
 
Afya ya mzee silaha naona inadorora kwa kasi ya kimbunga
ni maradhi au utu uzima
OTIS
 
Back
Top Bottom