Uzalendo wangu Mashakani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzalendo wangu Mashakani!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gagurito, Feb 22, 2012.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Naipenda nchi yangu kiasi ambacho ni zaidi ya zaidi na nina uhakika Mungu ni shaidi katika hili. But kwa hali ya maisha (kiuchumi), kisiasa na kiuongozi ilivyo inanifanya nikate tamaa. Wananchi tumepuuzwa, hakuna kiongozi anaye wajibika kwetu. Mfumuko wa bei umekua ni tatizo kwa kila tufanyacho. Imefikia hatua sasa nipo njia panda juu ya uzalendo wangu coz nahis mapenzi yangu kwa nchi hii yamebakwa na wachache ambao muda wote wanatuboa kwa matendo yao ya hovyo, kwa hali hii uzalendo wangu nauweka rehani, nipo mashakani.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  We, kaa kimya!
  Unawachokoza mafisadi eeh!...hujui wana hasira sana?
  Utawekewa Pollonium-210 wewe!...na kwa nafasi yako huwezi hata kupelekwa India kutibiwa...utaishia kulalama kitandani kwako hapo hapo kijijini kwako Kizimkazi Mabwepande!
  Na sisi hatukawii kuandika RIP!
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu umenena, India si saizi yangu hata kama nikiugua ini, wenyewe huenda hata kutumbuliwa chunusi. Wananchi tumelala, tunachezewa chezo!
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu siyo wewe tu kwa hili tupo wengi sana na siku zinavyozidi kwenda tunazidi kuongezeka
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Na sisi tukakubaliana hilo chezo ktk hili inaonyesha watanzania wote si wazalendo kwani tungekuwa wazalendo tungekua tushachukua hatua ya kuinasua nchi yetu mikononi mwa mafisadi
   
 6. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,929
  Likes Received: 1,461
  Trophy Points: 280
  hahaha,mkuu umeandika ukweli mchungu ingawa unafurahisha kuusoma!"hatukawii kuandika RIP" watanzania tunahitaji Neema!
   
 7. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,802
  Likes Received: 2,576
  Trophy Points: 280
  Usiwe na hofu mbona Watanzania wengi tu washatupa uzalendo wao jalalani siku nyingi.
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Inauma sana duh!
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ushawishi tulionao n mdogo then shida zilizozunguka familia zetu ni tishio!
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Roho inauma bwana, namkumbuka Mwl. J. K. Nyerere!
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Dah! Inauma sana bwana!
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mimi swala la uzalendo kwangu tena halipo,maana,wanaoniongoza ndo wamenifanya niwe hivyo
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu jitahidi bwana upandishe uzalendo wako wengine tulipotea mapema sana kinachotokea sasa kila nikiona rangi ya njano na kijani nakasilika nafika hatua mpaka ya kuichukia YANGA timu yangu pendwa
   
Loading...