mikopo ya BAYPOT na BLUE inatija kwa mkopaji ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mikopo ya BAYPOT na BLUE inatija kwa mkopaji ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by frozen, Feb 22, 2012.

 1. frozen

  frozen Senior Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanajamii tafadhari napenda kufahamu mikopo ya makampuni haya ya BAYPOT na BLUE kama kweli mikopo yao inatija kwa wakopaji na vipi makato yake wakati wa kurudisha; hayamuumizi mkopaji ? Na kwa upande wa wafanya kazi, wanalipa
  mishahara mizuri ?
   
 2. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hina ila inafilisi kabisa wakopaji kwani ina riba kubwa 80% na hakuna Grace period. Sijui kwanini BOT wanaruhusu taasisi kama hizi zi operate. Nafahamu mtu aliyechukua mkopo Real People Finance Services so I know the terms
   
Loading...