Upompompo wa madaktari wa kibongo hasa wa muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upompompo wa madaktari wa kibongo hasa wa muhimbili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SKY TP, Feb 22, 2012.

 1. S

  SKY TP Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kwa tuwazaniao kuwa ndiyo wakombozi wa afya zetu kuendeleza upompompo kwa kiasi hicho cha kuendelea kuangamiza afya na uhai wa watu.Mara ya kwanza mlifanya upasuaji wa kichwa mkapasua mguu na wamguu mkapasua kichwa mkasema ooohoo cjuh kakaenda kakarudi Je na huyo mtoto mliomdunga masindano sababu ni hipi. midhani nakubaliana na usemi kwamba hapa bongo watu huvamia fani. Mfano huyo daktari walikuwa wawe wamachinga ndio kazi inayowafaa bali sio udaktari.Na ndiyo maana wenye zao huenda nje kutibiwa na pia cjasikia watu kutoka abroad wakija kutibiwa hapa. NAWACHUKIA SANA HAO MADAKTARI FEKI YAANI KAZI YENU NI KUDAI PESA KUONGEZEWA.NINGEKUA NDIO NATAWALA HII NCHI MPUUUZI YEYOTE MWENYE KUHATRISHA AFYA ZA WATU NI KUPIGA SHABA LIKE CHINA.
   
 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  sijakuelewa ... mtoto gani ... hebu lete habari kamili ..
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu hebu weka vizuri hii habari, hakuna atakayekupiga we iweke vizuri tuwasaidie madaktari
   
 4. D

  Dr Kingu Senior Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu unapokwenda thietre ndiyo maana unasaini kibali cha kufanyiwa upasuaji, ukiingia huko anything may happen either kufa, kutoa kiungo ambacho hakikutarajiwa kama Dr atakavyoona inafaa au ukapata reaction ya dawa kama ilivyotokea kwa huyu mtoto. Sasa kwa kuwa mama yake alisign kibali yote mnatakiwa kupokea msitarajie mazuri wakati wote wakati mwingine hata mabaya hutokea coz ya anatomical difference, and chemical difference. Acha kulaumu, hizi ni errors tu coz 99.9% ya wagonjwa wanaofanyiwa operation operation zao hufanikiwa only 0.1% ndizo hufail, hv tungekuwa tunafanya mistakes wanazofanya wanasiasa, wanasheria kwenye mikataba mngetutia vidole kwenye macho. Sector ya afya ndo inayofanya kazi vizuri zaidi hapa nchini kuliko fani yeyote, and yet tunapofanya errors tunalaumiwa mpaka basi. Mbona CCM wanafanya makosa kila siku and yet mnaendelea kuwapa kura. Acheni kubwabwaja tumieni akili. Ujue maana ya kibali cha upasuaji sio utegemee majibu positive tu, hata negative hutokea ingawa ni very rare ndo imekukuta sasa unatakiwa kupokea. Sorry kama nitakuwa nimewakwaza
   
 5. C

  Claxane Senior Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Skypt karibu aga khan kama pesa unayo usipende kukashifu mungu ni wa ajabu. Yanayotokea bongo hata uk au usa yameshatokea cheki google. Inaonyesha uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sanaaa IQ 0.5.
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Mgomo wa madaktari ulianza muda mrefu sana...na hata watumishi wengine wa umma wako kwenye mgomo baridi,wachache sana wanafanya kazi kwa umakini.Wengi wao ni bora liende.
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  Sijui sn lakin inastaajabisha sana unapokuta mtu wa kichwa anapasuliwa miguu na vifo vingi vinasababishwa
  na uzembe tu. Period!!
   
 8. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Dr umeongea vizuri ila take a note kwamba unaposema wanasheria unakosea may be useme wanasheria wa serikali maana kuna tofauti kubwa sana!
   
Loading...