Mnakumbuka Bomoa Bomoa ya Ubungo miaka ya 1996? Imeleta Faida yoyote mpaka sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnakumbuka Bomoa Bomoa ya Ubungo miaka ya 1996? Imeleta Faida yoyote mpaka sasa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by magaka Makoye, Feb 21, 2012.

 1. m

  magaka Makoye Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF nadhani mtakumbuka sana bomoabomoa ya miaka ya 1996 na kuendelea. Nakumbuka ilileta kizaazaa kweli mpaka ikageuzwa ni agenda ya kisiasa. Sasa naomba mnifahamishe kwa kuchangia. Je kuna faida yoyote iliyoonekana baada ya bomoabomoa hiyo. Maana kipindi hicho ilikuwa inaonekana ni uonevu na hakukuwa na tija yoyote. Nawakilisha wakuu.
   
 2. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Labda tukuulize wewe utuambie, kama bomoabomoa isingefanyika barabara ya morogoro kutoka Magomeni hadi Kimara ingekuwa ni "dual carriageway" leo?, na je foleni ingekuwaje leo ikiwa ikiwa ilivyo leo foleni ni balaa.
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wewe unapita angani mjomba?
  au ulitaka wasijenge bara bara?
   
Loading...