Wanajanvi huwa napigiwa simu kupitia number hiyo hapo juu na anayepiga hajitambulishi sanasana nasikia sauti upande wa pili kama matangazo kutoka VodaCom sijui Karibu VodaCom Blablaaa nakuendelea...
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii (DK. Mponda),Waziri wa Ushirikiano wa Jumuia ya Africa Mashariki (Sitta) ,Naibu Waziri wa Miundo Mbinu na Ujenzi (Dr. Mwakyembe) na Mkurugenzi wa Upelelezi wa...
wazee wangu wacheni kupenda hela zabure na kulalamika piga hii no *150*55# kwenye simu yako utaona kama umekewa hela lakini ni test hapa jf watu wameshaanza sijui usalama wako wapi hapo hakuna...
Okware was attacked by the dog when he was cleaning his rear end.
By Faustine Odeke-Uganda
A 12-year old boy whose genitals were bitten off by an aggressive neighbors dog has been referred...
HALI katika mamlaka ya bandari [TPA] si salama kabisa, wizi umekithiri kupita kiasi makontena yanaibiwa kila kukicha, ukileta mzigo wa aina yeyote ile lazima utakuta kuna vifaa vimepunguwa,lililo...
KAMA ULIKUA UJAPATA KUONA YALIYO TOKEA HUKO ARUSHA KATIKA VIDEO UNAWEZA KUJIONEA MWENYEWE NA KUPIMA KWA UTASHI WAKO KAMA POLISI NI WALINADA AMANI AU NI VIBARAKA WA CCM NA KIKWETE POLISI WANAWEZA...
Yani mengi kupost twitter mmeipa dkk 3? Ngoja na mie nifungue tv yangu niweke taarifa ya habari saa nzima sredi na post zangu za JF,Facebook na twitter
Nawasilisha.
Kila mtu,mtza au mgeni,awe anaishi humu au nje ya nchi ukimuuliza anaiuaje Tza,utapata majibu tofautitofauti!Mathalani,yupo atakayejibu kuwa,Tza ni nchi ya nne kwa utajiri wa madini Africa,Tza ni...
Imenishangaza sana kwa habari iliyosomwa gazeti la majira, tuongee magazetini RFA, kuwa kituo cha sitaki shari kimeingia katika tuhuma nzito. Nimekaa chonjo kusikia tuhuma hizo, halafu wanaelezea...
70 nominees picked for Journalism Awards
Seventy nominees from print and electronic media have been picked for the Excellence in Journalism awards (EJAT) 2011.
The Executive Secretary...
jana katika kipindi cha EA RADIO cha Super Mix nilimsikia Risasi Mwaulanga akitangaza kutembelea kila wizara ya serikali kuhamasisha watanzania kutumia ndege za ATCL kwa usafiri wa ndani na nje...
Nimeshangaa sana kusikia malalamiko ya Samwel Sita na leo kutoka kwa Dr Harrison Mwakyembe na barua aliyoiandika: kuna tatizo na mgogoro kati ya serikali hii ya Jk na watu hawa pamoja na wale...
Soma habari iliyoandikwa kwenye Daily News kuhusu namna waandishi wa habari kupitia Jumuiko lao jipya liitwalo TAJOA (Tanzania Journalists Alliance).
TANZANIA Journalists Alliance (TJA) has...
Inakera sana kila siku kusikia ufisadi swali langu hivi hawa wakuu wa mikoa,wa wilaya na makatibu tawala wako wapi mpaka wanaajili hawa mainjinia wasio jua hata kufunga vitasa hasa wilaya ya...
Siku zote huwa ninawaambia watu watuache na ccm yetu wasituingilie. Ugua pole Mwakyembe, ila hatujui unaumwa nini kwa vile polisi wameshasema hujalishwa sumu.
Jamani naomba msome haya makala kwenye hiyo link hapo chini; binafsi nimeyasoma mpaka nikashikwa na haibu huku hasira za kutaka kupindua nchi zikinijaa. Hivyo nabaki kujiuliza: Hivi viongozi wa...
Dr Hassy Kitine msomi na mkurugenzi mstaafu wa usalama wa taifa UWT/TISS akizungumzia ushirikiano wa kikanda katika kipindi cha majadiliano TBC aliwahi kusema kuna nchi tatu tu katika afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.