Jiadhari na uvamizi wa daladala Dar es salaam!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiadhari na uvamizi wa daladala Dar es salaam!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sikwepeshi, Feb 21, 2012.

 1. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu,wakuu.awali ya yote napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa pumzi ya uhai baada ya mkasa wa jana,
  wapendwa mliopo dar es salaam jana mida ya saa 3 ucku nilipanda daladala inayotoka mtongani kuelekea mwenge, tulipofika maeneo ya mbele kdg na mwananyamala hospitali mara wakaingia watu wa3 wenye visu mmoja alipandia dirishan wawil waliingilia mlangoni.

  Gari haikuwa na watu wengi sababu wengi walikuwa wameshuka njiani,ndani ya gari walikuwepo wenzao wengine wawili hivyo walifikia watu 5,walimpiga sana konda sijui kama amepona wakachukua ela zote,baada ya hapo wakaanzana na sisi abiria.

  Ithnx God cku zote anafanya njia ilikuwa kama movie kumbe kulikuwa na mwanajeshi kwenye gari aliwashughulikia wote wa5 kwa wakati mmoja na iyo ndo ilikuwa pona yetu dereva hakusimamisha gari akidai kuwa iyo ndo tabia yao na ukisimama wanakuja wengi, at first abiria tulikuwa pulzed tukizan labda ni wapiga debe wamekosana na konda, tuwe makini na daladala za usiku pamoja na abiria tunaopanda nao gari.
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hakusimamisha gari mlishuka vipi? au alisimamisha polisi?
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  pole.waliopigwa na mwanajeshi walipelekwa polisi au iliishijae?
   
 4. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakusimamisha eneo la tukio hadi tulivyofika mbele zaid.ndo tukashuka
   
 5. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aliwapiga teke wawili wakatoka nje,wengine wawil kupitia dirishani,akabaki mmoja ambaye tulivyofika mbele abiria tulishuka na kupanda gari nyingne huku wao yaani dereva,konda,mwizi na mjeshi wakielekea polis
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Nenda tena kajipange upya kutunga stori.
  Konda amepigwa sana hata hujui kama atapona,
  Huyo mwanajeshi anaangalia tu konda anapigwa kwa kiwango hicho cha wewe kutojua kama atapona na kuporwa pesa?
  Mlipofuatwa nyinyi kupigwa ndo Mwanajeshi akawapiga wote hao watano na visu vyao??

  Mmh!! Ngumu kumesa...
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo mwanajeshi inafaa apewe tuzo ya kukabiliana na majambazi waliobeba visu kuokoa maisha ya Watanzania.

  Mlijuaje ni Mwanajeshi? pengine ni raia jasiri tu na kwa ujasiri wake mkafikiri kuwa ni mwanajeshi?
   
 8. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  it waz a pulze,nadhani unatambua makonda wengi walivyo wagomvi ata mjeshi alifikiri wanafahamiana,na ilikuwa kitu cha gafla ,mno walipotugeukia ndo tukagundua ni wezi ila at first we thought ni wapiga debe a,bao walidhurumiwa,at first kuna watu walianza kuwaamua wakati wanampiga konda ila walivyotoa visu kila mmoja alisita na mjeshi hakuwa kati ya waliojarib kuamua.
  Huenda nikawa siko poa kwenye kueleza bt nadhani infomatiom delivered,nilitaka kuwaweka aware
   
 9. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Katika Tukio kama hili linahitaji kujitoa mhanga. umoja ndio njia pekee ya kukabiliana na matatizo kama hay. Kipindi mwanajeshi anapambana na hao wahuni ilitakiwa na nyie abiria wote mshirikiane naye, sasa kama nyie wote mlimuachia mjeshi peke yake ndio maana wezi wengine walifanikiwa kukimbia.

  Tujifunze kushirikiana kwani kukaa tu na kuangalia movie haisaidii fikiria je, kama asingelikuwepo huyo aliyejitoa ina maan mlikuwa mnasachiwa hadi huko nanii....

  TUWE NA UMOJA WAJAMENI KUMBUKA "UMOJA NI NGUVU NA SILAHA YA MNYONGE NI UMOJA"


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 10. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hee mi nilifikili break ya kwanza itakuwa polisi !
   
 11. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa alichokifanya na dhahiri atakuwa mwanajeshi,na kama sio basi amepitia mafunzo ya jeshi,ndo mana nimemuita mjeshi,raia wa kawaida asingeweza vile ndugu yangu,na cha ajabu kingne hakutaka stori na mtu ilikuwa ni amri tu.mmmmm yule lazima ni mjeshi coz alijiamin mno
   
 12. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh ni kweli sikuona mtu mwingne mwenye ule ujasiri,binafsi ckuweza abiria wote tuliishia kujikunyata sehemu moya,dah poor us next tyme we should do somethng kwakweli
   
 13. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  pole sana mkuu; nyamala noma kumbeee
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hata mimi ninashangaa Mwanajeshi kuwapiga Jamaa pale tu walipoanza kuwashambulia abiria.
  Sasa ni kwa nini hakuingilia kati mwanzoni kabisa wakati walipoanza kumpiga Konda?

  Kweli hii stori ina walakini..
   
 15. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Lakini huyo mjeshi anaijua kazi yake. kwanza alikuwa anasoma vita. Na huenda kama angejiingiza toka mwanzo huwezi jua mle ndai ya basi kundi la wezi wapo wangapi. Huenda jirani yake naye ni mmoja wao. Kama angeiingia kijinga hapo angevamiwa na kupigwa vibaya kama wapo wengi.

  Alipohakikisha kuwa waliokaa kwenye viti wote ni abiria ndio akasimama kupambana.

  HEKO MJESHI, KWANI INGELIKUWA HAWA WENZETU MAKAMANDA WA AFANDE SAID MWEMA; HAPO ANGERUKA DIRISHANI KUKIMBIA.

  Kwani wameshazoea kututishia sisi tusio na silaha kwa kutupiga mabomu au maji washa. Lakini makamanda wa Said Mwema wakiona umeshika bisibisi tu na yeye hana bomu la machozi au gari la maji washa huwa wanajifungia ktk vituo vya polisi au kuingia chini ya meza.

  ACHENI NISEME, HATA MKINIMWAGIA MAJI WASHA ACHENI NISEME, HATA MKINI....... ACHENI NISEME.....

  JESHI LA POLISI LINALEA NA WANASHIRIKIANA NA WATENDA MAOVU, NA NDIO MAANA MAJAMBAZI - RUSHWA - MAFISADI NA UOVU MWINGINE HAUISHI TANZANIA.  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 16. L

  Loy New Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nawapatia pole mliopatwa na hayo
   
 17. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Asante kwa kutuhabarisha...
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu umeachia hewani hewani hujatumalizia baada ya yule mjeda kuwashughulikia walikamatwa na kupelekwa Police au ilikuwa je?
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nao wezi wakaishia wapi pamoja na walopigwa?
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nao wezi wakaishia wapi pamoja na wezi walopigwa?
   
Loading...