Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika pitapita zangu katika vijiji vya mkoa wa mbeya wilaya ya momba.nimekutana na mzee mmoja akiwa amekamatwa na vyombo vya dola huku akiwa amezingilwa na kundi la vijana kwa kuwatishia kuwaua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauliza hivi, kwanini serikali inashindwa kumwagilia barabara za jijini DSM ili kuondoa na kupunguza vumbi njiani? Nani anahusika hasa na ina maana haya mawazo hayapo kichwani mwake? Ina maana...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kupitia mtandao huu wa kijamii ni wazi,watu wengi wananufaika hasa mpangilio mzuri wa majukwaa. Shida na maswali mbalimbali yamekuwa yakipatiwa ufumbuzi kwa njia tofauti. Nadhani yote mazuri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Toka kumenzishwa huu ukumbi pale mbagala zakhiem kumekuwa na kelele nyingi sana za muziki ambazo hutusumbua sana sisi wakaazi wa mbagala usiku wakati wa kulala kwa kweli naomba serikali ya mtaa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Sipendi kuwa mnafiki wala kuitwa mbeya kwa kweli kwanza naomba niwape pole kwa familia ya mh capt J. Yamungu ni huzuni kubwa kuondokewa kwa unaempenda ....ni wakati muhimu sasa familia kuwa kitu...
0 Reactions
25 Replies
46K Views
Kwenye kuguna tugune, panapochukiza tuseme na panapofurahisha tupige makofi. Mwakyembe keshaonyesha njia ya kung'oa visiki kama ifuatavyo. 1. PAUL CHIZI-ATCL 2. WILLIAM MHANDO-Tanesco 3. CHARLES...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wa kwetu akitembelea miradi yake huko Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani! Wa wenzetu akiwajengea watu wake nje kidogo ya Kigali! Source: www.zanzibarnikwetu.blogspot.uk.co
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimechekesana JK alivyosema kuna watu wanagomea sensa mpaka mjusi na mifupa ya binadamu wa kale irudi,hivi ni akina nani hao?au JK kawadanganya wananchi?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau wa Chadema jimbo la Lushoto na Tanzania kwa ujumla hususani Wanawake na viongozi wa BAWACHA napenda kuwapa pole kwa msiba ambao umempata mwenyekiti wa BAWACHA JIMBO LA LUSHOTO BI.ZALIHINA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wa ndugu, Kama kichwa cha habari kilivyosema hapo juu, nimeamua kuweka ANGALIZO hili ikifuatiwa na attachment, yamkini jambo hili lilishazungumziwa hapa, lakini si mbaya nikarirudia kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna ajali imetokea Eneo la kitonga Mkoani Iringa,hakuna kifo kilichoripotiwa. Tutajuana kadri habari zaidi zikipatitana. Source Mimi Mwenyewe.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Baada ya kusubiri kwa miaka kumi hatimaye imebakia masaa 48 tu kuhesabiwa ili serikali ipate takwimu inazohitaji. Nikiwa kama raia mwema wa Tanzania nimejiandaa vya kutosha kuhesabiwa na ninao...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
MOTO umeibuka mchana wa leo katika nyumba mbili zilizopo eneo la Goig Mbezi Beach , jijini Dar es Salaam, jirani na ofisi za Seven Estate Agent na kuteketeza sehemu kubwa ya nyumba hizo na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau wa JF napenda kuwafahamisha kwamba bibi yangu mwenye umri wa takribani miaka 78 amepotelea maeneo ya KAWE leo saa 11 jioni alipokuwa akienda kwa mjukuu wake anayeishi maeneo hayo. Bibi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Muda mchache uliopita nilikuwa natoka KIA naelekea A Town, nikampa lift askari mmoja wa usalama barabarani ndipo nikaipata hii habari, kuwa jeshi la polisi nalo limepewa lengo la kukusanya mapato...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kutokana kambi ya Mh Batilda Buriani iliyokuwa ikisaidiwa na Mh. Lowassa kuisambaratisha kambi ya aliyekuwa mbunge wa kipindi kilichopita Mh. Felix Mrema, CCM Arusha inaonyesha kutokuwa na nguvu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ask Mkombo aliyeteka waandish Nipashe ameaga kwamba anakwenda Bagamoyo sasa hivi yupo na Mke mdogo.Taarifa zinaonyesha anaelekea Morogoro Road na kule Mby kuna watu wanajianda kumpokea!Kunahofu...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Utakuta mtu katoka Kwenye family ya kimaskini mno akija USA anaanza kushindana na watoto ambao familia Yao inauwezo as a result wivu wa watoto wa familia za kimaskini wanaanza vita ya maneno na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mauwaji ya kutisha yamefanyika katika kijiji cha Baranga wilaya ya musoma vijijini kata ya buswahili tarafa ya kiagata baada ya watoto wawili wa familia moja wakiwa na umri wa miaka 5 na 7 baada...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Ndugu wana jamii... Nilikuwa natokea maeneo ya Mbweni nikafika maeneo ya tegeta nikakutana na makarandinga 6 na ffu kama gari 15! Kulikoni yoyote mwenye taarifa?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom