Watanzania wenzangu tuwe waangalifu na utapeli huu wa.....

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Habari wa ndugu,

Kama kichwa cha habari kilivyosema hapo juu, nimeamua kuweka ANGALIZO hili ikifuatiwa na attachment, yamkini jambo hili lilishazungumziwa hapa, lakini si mbaya nikarirudia kwa manufaa ya watanzania wenzangu.

Kwa wale wanaotumia email hasa yahoo uk and ireland n.k kumekua na email kadhaa zikitumwa kwa watu mbalimbali zikionesha either umejishindia pesa taslimu na wanatoa sababu kibao za wewe kushinda,lakini pia kuna aina nyingine wanakutumia email ya dada mzuri sana anaweza kuwa na rangi ya kiafrika ama kizungu pia. Tuache ya pili tuzungumzie ya kwanza,hawa matapeli wanakutumia email hiyo ya kujindia pesa kadhaaa halafu wanakuambia uwatumie account yako ya bank ili wakuingizie hela. TAFADHARI USIWAPE ACCOUNT YAKO YA BENKI.

Baba mdogo wangu alikopa hela kwa mtu kama shillingi milioni tano hivi kwa ajili ya kufanyia biashara zake, sasa katika kupita kwenye email akakutana na inbox ya email kama hiyo..bila hata kuuliza watu akafanya process zote ikiwa ni pamoja na kutuma account number ya benki, wamechukua hela yote mpaka sasa hajui afanyaje na kwangu huyu ni mtu wa nne toka utapeli huu uanze.

Sasa swali ninalojiuliza ni kwamba inawezaje mtu toka nchi ya mbali ama hata hapahapa akachukua pesa kwenye account ya mwenzie?? na wanachukuaje hizo pesa???

HIVYO WATANZANIA WENZANGU TUWE MAKINI SANA NA UTAPELI HUU

Nime attach hiyo document ipo katika Msword ambayo ndiyo walio mtumia kwa wale wanaotumia PC wanaweza kudownload,pia nacopy email utaiona hapa chini:

N.B KWA WALE WALIO KWENYE MAKAMPUNI NA WANATUMIA EMAIL ZA MAKAMPUNI WANAWEZA KUFORWARD UJUMBE HUU KUWAELIMISHA WATANZANIA WENGINE ILI WASIKUTWE NA JANGA HILI

Ahsanteni.....
Bampami


C:%5CUsers%5CBARIKI%7E1%5CAppData%5CLocal%5CTemp%5Cmsohtmlclip1%5C01%5Cclip_image001.gif

C:%5CUsers%5CBARIKI%7E1%5CAppData%5CLocal%5CTemp%5Cmsohtmlclip1%5C01%5Cclip_image002.gif
YAHOO MAIL LOTTERY
124 Stockport Road, Long Sight, Manchester M60 2DB - United Kingdom
Telephone: +447031749965 Fax: +448704786394

This is to inform you that you have won prize money of Five Hundred and Fifty Thousand United States Dollars ($550, 000. 00) for 2012 Prize Promotion which is organized by YAHOO, AOL, WINDOWS LIVE & OTHER SOCIAL NETWORK.

YAHOO and MICROSOFT collects all the email addresses of the people that are active online, among the millions that subscribed to Yahoo and Hotmail and few from other e-mail providers. Six people are selected to benefit from this promotion and you are one of the Selected Winners.

PAYMENT OF PRIZE AND CLAIMS

Winners shall be paid in accordance with his/her Settlement Center. Yahoo Prize Award must be claimed no later than 14th days, from date of Draw Notification. Any prize not claimed within this period will be forfeited.

Please be informed that you’re CHEQUE (CHECK) of the sum of US$550, 000. 00 (Five Hundred and Fifty Thousand United States Dollars) is now with your FIDUCIARY AGENT in your allotted Settlement Centre insured and issued with your email address which won you this prize, therefore you should contact your FIDUCIARY AGENT with your detail information so that they will expedite actions for the processing of your fund transfer.

Stated below are your identification numbers:
BATCH NUMBER: MFI/08/APA-43658,
REFERENCE NUMBER: 2008234522
AWARD WINNING NUMBER: 01 14 21 30 35 48
PIN: 1208

These numbers fall within the South Africa Location file, you are requested to contact our Fiduciary Agent in Johannesburg, South Africa and send your winning identification numbers to him;

FIDUCIARY AGENT/CLAIMS MANAGER CONTACT INFORMATION:
TEL: + 27-73-282-3275
FAX: +27-86-646-0914
CONTACT PERSON: MR. FRANK TAYLOR
E-Mail: franktaylor@email.ua

You are advised to send the following information to your Fiduciary Agent to facilitate the release of your fund to you. Terms and Conditions applied.

1. Full Name……………………………
2. Country……………………………….
3. Contact Address..........................
4. Telephone Number…………………

C:%5CUsers%5CBARIKI%7E1%5CAppData%5CLocal%5CTemp%5Cmsohtmlclip1%5C01%5Cclip_image004.gif

Congratulations!! Once again.

Yours in service,
C:%5CUsers%5CBARIKI%7E1%5CAppData%5CLocal%5CTemp%5Cmsohtmlclip1%5C01%5Cclip_image006.gif

Dr. Johnson Smith.
(Co-ordinator Yahoo/Msn Award Lottery Promotion, Manchester, United Kingdom)
-----------------------------------------------------------------------------------
WARNING!

Do not tell people about your Prize Award until your money is successfully handed over to you to avoid disqualification that may arise from double claims.

You may also receive similar e-mails from people portraying to be other Organizations of Yahoo Inc. This is solely to collect your personal information from you and lay claim over your winning. In event that you receive any E-mail similar to the notification letter that was sent to you, kindly delete it from your mailbox and give no further correspondence to such person or body.


Yahoo shall not be held responsible for any loss of fund arising from the above mentioned. PLS SEND YOUR REPLY TO YOUR CLAIMS MANAGER EMAIL ADDRESS: franktaylor@email.ua

© 2012 Yahoo! Reward. All rights reserved.
 

Attachments

  • utapeli kupitia yahoo by BAMKA.doc
    92 KB · Views: 65
kama unatumia google mail wewe drag na uziwekeweke kwenye spam folder kila zikija email za dizaini hiyo zinaingia zote kwenye spam na unazidelete forever..
 
kama unatumia google mail wewe drag na uziwekeweke kwenye spam folder kila zikija email za dizaini hiyo zinaingia zote kwenye spam na unazidelete forever..

vizuri ndugu kwa elimu ya gmail pia.
 
wataz hawaelimishiki wanapenda mteremko sana ,HAKUNA HELA RAHISI !!!!!!!!!
 
wataz hawaelimishiki wanapenda mteremko sana ,HAKUNA HELA RAHISI !!!!!!!!!


...Umeona eeh? Hivi sijui kwa nini hatujiulizi swali rahisi kabisa; Inawezekanaje Nikashinda bahati naisbu ambayo SIKUICHEZA?????
 
Swali ambalo bado halijajibiwa ni kwamba,Mimi nikimpa mtu au Kampuni namba yangu ya account,anawezaje kuwithdraw fedha bila idhini yangu?hii inawezekanaje?
Inanishtua maana naona usalama wa fedha zetu ni mdogo!!
 
wataz hawaelimishiki wanapenda mteremko sana ,HAKUNA HELA RAHISI !!!!!!!!!

Mijini wajinga hawaishi, kila leo kuna anayeingizwa mkenge. Hii kitu mimi nimeanza kuskia mwaka 2002 na nlitumiwa kwenye address yangu ya excite.com.
 
Back
Top Bottom