Kwanini Jamii Forums haijawahi kushindwa?

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
48,998
54,267
Kupitia mtandao huu wa kijamii ni wazi,watu wengi wananufaika hasa mpangilio mzuri wa majukwaa. Shida na maswali mbalimbali yamekuwa yakipatiwa ufumbuzi kwa njia tofauti. Nadhani yote mazuri mazuri ndani mtandao huu ni kutokana na watu wa rika zote kutoa michango yao,pia watumishi wa umma na wasio watumishi.Wkt wote jf nionavyo mimi inashinda zaidi ya kushindwa. Kama kuna wkt jf imeshindwa nijuzeni waungwana zaidi jumapili na sensa njema,tuhesabiwe.
 
JF ni wabobezi kwenye nyanja zote! Juzi tu mwana memba mmoja(jimmypaka) alimshauri JK kuhutubia kabla ya Sensa. Na kweli, jana aliirudisha nyuma ya wakati ile hotuba yake ya kila mwezi ili aongelee Sensa badala ya kusubiri mwisho wa mwezi! JF ni Kiboko ati!
 
Jk atakuwa anaingia kupata mambo mazuri humu.
 
MGOMO wa madaktari nadhani tulichemka vibaya!

Mkuu labda walimu watafuata maelekezo ya jf ili rufaa yao iweze kumwaga serikali. Huenda wakatufuta machozi unajua tumewapa ushauri sana.
 
Back
Top Bottom