Habari za wana-magamba kuandaa vijana kwa ugaidi wa kisiasa hazijaanza leo. Nape anabaraguza tu, anapopinga kuwepo njama na mikakati hiyo. Ushahidi wa kuthibitisha hoja za mafunzo ya ugaidi wa...
Nimekuta wajumbe wa nyumba kumi wakijadili kuwa wao hawakuhusishwa na pesa za posho tangu waliposhiriki zoezi la kuandikisha watu kwa ajili ya vitambulisho vya taifa na sasa pia hawaja lipwa kitu...
Katika mazingira ya kawaida nchini Tanzania, si vyema kutaja makabila ya watu lakini kwa ajili ya kumbukumbu kwa wale wasiofahamu ni kwamba Nsilo Swai alikuwa miongoni mwa mawaziri sita Waafrika...
serikali ya tanzania inapotoa kauli huwa ni nguvu ya soda,mfano maeneo ya ubungo wafanyabiashara wadogowadogo wamerudi kufanya biashara maeneo ambayo yalikatazwa kufanyia biashara..
Tanzania inajulikana ulimwenguni kote kwamba ni nchi ya maajabu. Ndio maana watu kutoka pande zote za dunia husafiri umbali mrefu na kutumia fedha nyingi ili kuja kujionea maajabu mengi...
Kuna wawekezaji wametoka brazil ili kuja kuwekeza katika kilimo Tanzania
Hivi watanzania tunaelekea wapi, madini tumeshindwa kuyachimba. Na hata kununua vifaa vya kisasa kulima mashamba makubwa...
Wakati serikali ikijitahidi kuboresha miundo mbinu na kuhamasisha wananchi katika eneo husika kuitunza, hii imekuwa tafauti hasa kwa wakaazi wa Mbagala rangi tatu, hasa kuanzia Zakhem mpaka...
nalishangaa jitu zima kama Ranfred Masako la ITV kuendelea kutumia kuandaa kipindi kwa ajili ya kuwatukana watu kwa kuwaita wanatumiwa, siyo wazalendo, wajinga na kashfa nyingine nyingi kwa kuwa...
Ni kizaazaa.
Katika Barabara ya Morogoro sehemu ya Kongowe hadi Misugusugu. Kuna foleni ya ajabu sana. Inasababishwa na ukaguzi wa TRA kwa malosi eneo la Misugusugu.
Magari yanalazimika kupita...
Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya JWTZ ni kwamba kuna askari wapata takriban 30% ya askari wote hawajapata mshahara wa mwezi july hasa wale walioko JKT.kwa mujibu wa taarifa zisizo...
VOTE NOW!
Tanzania has been nominated for three of the Seven Natural Wonders of Africa being:
The Ngorongoro Crater
The Serengeti Migration
Mount Kilimanjaro.
All we need from you is to vote...
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa...
Kitendawili cha Sensa Tanzania na Hofu ya Serikali
Na Mohamed Said
Theluthi mbili ya Waislam wote wa Afrika ya Mashariki wanaishi Tanzania mbayo ndiyo nchi yenye watu wengi kuliko zote...
Makarani wa sensa watapita kila kiya na kuchukua takwimu za watu watakaokuwa wamelala hapo siku hiyo...swali langu je watu watakaokuwa mbali na nyumbani kwao hawatahesabiwa? mfano watakaokuwa...
Imekua ni tabia ya wabunge wengi siku hizi kutoa mipira na Jezi kwa vijana wa majimbo yao na kuanzisha ligi zenye majina yao kwa lengo la kujitangaza. Kwa bahati mbaya sana mipira hii na jezi ni...
Kwa muda mrefu sasa nimeona watu wengi kila baada ya kumaliza haja ndogo hutema mate kwenye mkojo wake. Hii hutokea mara nyingi kwenye public toilets (kwa sisi wanaume), porini (saa ya kuchimba...
Mimi kama mpenda haki na asiye penda kuona wanyonge wana nyanyaswa nimeamua kuwaletea kisa hichi hapa jf wadau na wapenda haki kwa kila mtu waweze kusoma na kuchukua hatua kwa yeyeto ambaye...
Wiki hii Mkuu wa Mkoa wetu wa Pwani Hajjat Mwantumu Mahiza alizungumza na waandishi wa habari na kuelezea masikitiko yake kwa binaadamu ambao wamekuwa wakitanguliza sifa na maslahi binafsi badla...
Kumekuwa na wimbi la uhalifu kwa kutumia simu hivi karibuni.leo hii nilipokea simu kwa mtu asiyejulikana na kuniambia kuna Bonus ya tsh 10,000 anataka kunitumia kwenye a/c yangu ya NMB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.