Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama kuna kitu cha kushauri kwa sasa kwa wanafunzi walipo UDSM ni kwamba wahakikishe utaratibu wa kupewa vyeti vya taaluma mbali mbali wanazo hitimu unabadilishwa.Kwani utaratibu ulipo sasa wa...
1 Reactions
0 Replies
969 Views
Wadau, JF, ni jambo la aibu serikali ya TZ kuwapa wasonjo nyama ya pundamilia kama walivyoagiza, kama ruzuku ya shughuli ya sensa. Unafiki umekita mzizi Kutaja wakati wote KIBERA huku maskini...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwenye pitapita zangu katika magazeti tofauti hapa Uchina, nimeipata hii makala inayomhusu Mtanzania mwenzetu ambaye amenukuliwa kwenye jarida (shirika la habari) moja kubwa duniani. Pamoja na...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wana jamvi hebu nisaidieni hapa nimepokea ujumbe huu muda si mrefu nimeshindwa kujua kama ni matapeli au vp'kwa sababu sijashiriki bahati nasibu yeyote MOI YOUR MOBILE NUMBER HAS BEEN WON...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
katika hali isiyo ya kawaida mahakama kadhaa mkoani tanga leo wameshindwa kuendesha shughuli zake kutoka na magari yanayotumika kuleta watuhumiwa kushindwa kufika mahakani kutoka na kukosa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Michuzi katika bandiko muhimu leo kwenye blog yake, amesema kumekuwepo na upungufu mkubwa wa picha zinazoingia kwenye mtiririko wa blog yake kila siku kutokana na vyama vya siasa kutopeleka picha...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeshuhudia mwenyewe karani akitolewa nje kwa kukosa kitambulisho na Uniform, hivyo akaambiwa awalete viongozi wa mtaa ili aruhusiwe kuendelea na zoezi. Kwa hali hii sijui nani alaumiwe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05 "Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Mbunge wa Mvomero Amos Makala ameamua kurudi haraka jimboni kwake mvomero na kuanza kugawa jezi na mipira kama njia ya kutuliza upepo mkali wa M4c, watu wanataka maendeleo na sio mipira na jezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili taifa ni letu sote. Isikubaliwe mtu au kikundi cho chote cha watu (nadni na nje ya nchi) kuendesha au kushawishi mambo ya kitaifa kana kwamba ni lao peke yao!:yawn:
1 Reactions
0 Replies
1K Views
anaongelea historia yake na siasa,karibuni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ya Mifuko ya jamii kukatalia pesa ya wafanyakazi imeishia wapi?? manake jana mtu mmoja ameenda NSSF, kudai mafao yake akakataliwa... sasa afanyeje?? ushauri wenu Tafadhali....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SA protest over miniskirt attack Some of the...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Wadau,mwandishi Eric david Nampesya amefanya uchunguz wa biashara haram ya binadam,watu ambao anawahoji wanakiri kuwa wanashirikiana na askari wa uhamiaji,makala hiyo itaendelea jioni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sensa ni zoezi ambalo halina faida kabisa kwa watanzania hususani sensa hii itakayofanyika. Serikali isiyowajali wanchi wake itafanya nini baada ya kuwahesabu zaidi ya kuwa ni zoezi au njia ya...
4 Reactions
71 Replies
23K Views
Kwa wale ndugu zangu wanaoishi UK, nitapataje kichwa cha scania R420. 6×2/4 wheel base 3975, mpaka kifike Mombasa port ni £ ngapi au ni $ ngapi please email me richadnguma@gmail.com or text...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf heshima kwenu. Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya kukodisha magari. Ninayo magari mawili 4x4 heavy duty ambayo siyatumii hivyo nimeonelea nianze na hayo kwanza. Mwenye uzoefu na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni mshabiki wa kipindi cha 'Watanzania Tusome Magazeti' kinachooneshwa na Star tv kila siku saa 12.30 asubuhi. Wakati mtangazaji anashika gazeti akilisoma huwa naona doa la rangi ya zambarau...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sijaelewa logic ya kuhesabiwa ni ipi hasa? Je maendeleo yatakuja soon baada ya sensa au? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MASWALI YA SENSA KWA AJILI YA WASAFIRI NA WALIOLALA HOTELI/NYUMBA ZA WAGENI 1. Jina …………………………………………………………………………………………… 2. Jinsi (ME/KE)………………………………………………….. 3. Una umri wa miaka mingapi...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom