Hivi ni akinanani walidai kuwa hawatakua kuhesabiwa mpaka mjusi wa kale arudishwa Tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni akinanani walidai kuwa hawatakua kuhesabiwa mpaka mjusi wa kale arudishwa Tz?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ruhazwe JR, Aug 26, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimechekesana JK alivyosema kuna watu wanagomea sensa mpaka mjusi na mifupa ya binadamu wa kale irudi,hivi ni akina nani hao?au JK kawadanganya wananchi?
   
 2. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Duu, hii hata kwangu mimi ndo nimeisikia jana. Je, hili dai lilitolewa wapi? maana naona hapa ni kama vile ukweli hausemwi na ni kama vile idadi ya wanaopinga sensa inazidi kuongezwa!!
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamaa naona katuingiza mjini,ili ionekane watz tunamuonea,au wale vijana wake wa tiss na Nape tayari wamesha mdanganya naye aka copy na ku-paste
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Vyombo vya habari wiki iliyopita vilidai wananchi wa Lindi wakisema hawatahesabiwa mpaka mijusi ya kale irudishwe.
   
 5. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  When I was a boy I was told that anybody could become a President. Now believe it! Kweli jamaa (JK) anasikitisha sana, anafanya Bora Liende
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ni kweli wananchi wa Lindi walidai hao mijusi warejeshwe ndio watahesabiwa...
   
 7. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,053
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Tanzainia it's like a house. Jk like a father ,muslims like mama's boys,hivyo waacheni wadeke!!u know wat i mean?
   
 8. Ossy32

  Ossy32 Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Em nisaidien, wanaposema mijusi wanamaanisha nn?!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Dinosaurs wale mijusi wa kale, inasemekana mabaki yake yalichukuliwa na wajerumani. Serikali iliwahi toa tamko kuwa ipo ktk mpango wa kuirudisha.
   
 10. B

  Bijou JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145

  Ha ha haaaaaaa kweli nimecheka sana, mama's boys, very true!!!!!! Mamas' boys kila siku wakija NA Hoja ni taharuki!!!!! INABIDI lifanyiwe kazi ukichekea tumbili KWENYE shamba la mahindi...................??????????
   
 11. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  ni wakazi wa mbeya huko chunya...ilikuwa mwezi uliopita walirusha star tv.
   
 12. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,118
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Ni wakazi wa Lindi,na JK katika maelezo yake alisema mabaki hayo yana urefu wa takribani gorofa tatu kwenda juu.
   
Loading...