Ajali upendo bus kitonga

jimjamtz

Senior Member
Mar 13, 2008
153
28
Kuna ajali imetokea Eneo la kitonga Mkoani Iringa,hakuna kifo kilichoripotiwa.
Tutajuana kadri habari zaidi zikipatitana.
Source Mimi Mwenyewe.
 
Tunajitahidi kupata picha,ila watu waliopo site wanatumia cm za kiganjani tuu...soon we shall improve the Alert!!!
 
ishibishe habari yako. ni ajali ya aje zimegongana, imeanguka au imekuaje?. mia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom