Makarandinga na FFU

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
401
94
Ndugu wana jamii...

Nilikuwa natokea maeneo ya Mbweni nikafika maeneo ya tegeta nikakutana na makarandinga 6 na ffu kama gari 15!

Kulikoni yoyote mwenye taarifa?
 
Hizo ndio heka heka za Sensa.Hao wanakwenda kuwalinda wanaoanza kuhesabiwa usiku.Au kwa maneno mengine ni wale walio kwenye maeneo hatarishi.Jiandae kuhesabiwa.
 
Back
Top Bottom