Why Tanzanians who lives in USA spends More money than saving .?

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Utakuta mtu katoka Kwenye family ya kimaskini mno akija USA anaanza kushindana na watoto ambao familia Yao inauwezo as a result wivu wa watoto wa familia za kimaskini wanaanza vita ya maneno na kumdestroy mtoto wa familia ya wenye uwezo .wanasubutu kumshitaki mtu migration eti wa kitajiri arudishwe bongo na Yule wa maskini abakie USA .hawa watu siwaelewagi kabisa.houston texas ndio m chezo huu sana.
 
hapa watu hulipwa mashahara kila wiki au baada ya wiki mbili pesa zinajaa benki. Hivyo ukichanganya na matealistic world, unajikuta unaspend sana kuliko kuserve. hapa marekani hapana mtoto wa masikini wala wa tajilri. watanzania wote tupo sawa. sasa kuna watanzania walikuwa mboga saba bongo wakifika hapa hutaka kuwa na daraja lile lile la wao ni mboga saba mezani. sasa hujikuta hujaa wivu wakiona mtu wa bongo aliyekulia jua la utosi ananunua magari ya kifahari kwa sababu ya kujituma kufanya kazi sana.

Cha ajabu nilichokiona mimi hapa marekani haswaa pale harlem news york city ni jinsi mwafrica ya magharibi alivyo mchafu hotelini kwakwe. Mwafrica mashariki yupo juu sana katika kuweka hoteli yake ktk mazingira mazuri. kwa waliofika new york City, wataungana namimi wakitembelea mtaa 116 african streets pale harlem. Yaani unaingia ktk hoteli ya mghana au msenegal, unakuta meza hazina vitambaa, tena ziko fupi saizi ya ugoko. Hivyo unainama sana kula tonge. Kuna msenegal anaita hoteli yake jina Kilimanjaro, ukiingia humo utadhania utamkuta mmbongo, kumbe doo ugali unata mkononi kama vile una gundi kiganjani. Ukienda ktk Hoteli za wahindi kutoka india, tena bei ni ile ile ya wafrica magharibi, humo hotelini mwao unapokkelewa na harufu ya jikoni ambayo hukufanya usmile smuda wote. halafu ni wasafiii sana . Bilian au pilao hunukia mpaka unajisikia upo ktk sherehe ya sweet sixteen(unyagoni)!
 
Back
Top Bottom