Ask Mulilege Mkombo ameondoka sasa hivi kuelekea Mpaka wa Tdm Mbeya sasa hivi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ask Mulilege Mkombo ameondoka sasa hivi kuelekea Mpaka wa Tdm Mbeya sasa hivi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwamakula, Aug 25, 2012.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ask Mkombo aliyeteka waandish Nipashe ameaga kwamba anakwenda Bagamoyo sasa hivi yupo na Mke mdogo.Taarifa zinaonyesha anaelekea Morogoro Road na kule Mby kuna watu wanajianda kumpokea!Kunahofu kuwa anakwepa kuwepo kesho kanisani kwa tuhuma za kuhojiwa kwani anatakiwa kutoa maelezo iweje awaite Waandish harafu ageuke na kuwateka.
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  hebu eleza vizuri Tanzania ni kubwa hii huyo ni nani, alifanya nini tujue, usifanye kama unakimbizwa!
   
 3. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,524
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  aliteka waandishi kwa kosa gani? Ni wa kanisa gani.? Mkuu fafanua kosa lake tukuelewe.!
   
 4. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nipashe leo kuna habari ya kutekwa waandishi hapo uk1 .Waandish hao wametekwa kanisani kwake na kufungwa Minyororo na kupigwa vibaya.Sasa kesho ni jpili.Anapaswa kuhubili hapo lakini cha ajabu ameondoka hapo safari ya ghafla wakati Jtatu anatakiwa na Polisi kwa mujibu Wa WH/Rb/8987/2012 .Anakimbia waandish hapa Dsm anakwenda Mby.Soma Nipashe leo utaelewa
   
 5. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Haraka ya nini kama unafukuzwa?. Kama habari iko Nipashe wewe umeiandika ya nini japa JF wakati hujui kuielzae vyema?
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyu jamaa hajaacha vituko tu?sasa naanza kuamini kwenye system atakuwa na watu nimenza kusikia vituko vyake zamani sana the other time alitapeli mtu gari tena muumini wake Mbeya kule,kukawa na mfarakano kanisani kwake akakimbilia Dar
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Kuna thread itafuteni humu ndani inamchambua kwa kina
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Kwenye issue za ma-pouda hayupo kweli huyu kiumbe? Manake kila siku mnazidi kuniweka mbali naye.
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hata wewe upunguze haraka
   
Loading...