Vumbi jijini Dar: Serikali inashindwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vumbi jijini Dar: Serikali inashindwa nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Aug 13, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  Nauliza hivi, kwanini serikali inashindwa kumwagilia barabara za jijini DSM ili kuondoa na kupunguza vumbi njiani?

  Nani anahusika hasa na ina maana haya mawazo hayapo kichwani mwake? Ina maana rais wenu mliyemchagua kila wiki anavyosafiri haoni barabara za wenzake? Ama anafikiri Mungu ndiye aliwadondoshea hizo barabara...?

  Vumbi linakera sana na lipo ndani ya uwezo wetu kulitoa!
   
 2. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hahaha, saint bwana. Hivi maji ya bomba mnapata wote hadi ya kumwagia barabara yabaki? naona leo umeamua kujifurahisha. Hiki ni kipindi cha kiangazi kila majira na adhari zake bila adhari za majira huwezi jua kama ni kiangazi, kipupwe au masika. Take it easy sio Dar tu bali ni nchi nyingi za Afrika miezi hii ni vumbi kwenda mbele tena unakuta sehemu nyingine mafua na vikohozi haviishi kwa ajili ya vumbi.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  nimekual vumbi hadi basi .
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Ukifika huku kwetu Ung'wanang'washi utabloo........SIMBA hoyee

  [​IMG]
   
 5. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Saint Ivuga NAKUUNGA MKONO KABISA ,issue ni kwamba ukata wa serikali mitaa mingi haina wakandarsi wa kufagia barabara kama ile ya Kawawa ni vumbi balaa na baadhi ya barabara zitaziba punde na mvua ikianza mwakanni au wakati wa vuli ni balaa na mafuriko kibao.Barabara za lami magomeni yote pia hazifagiliwi na mifereji kuzibuliwa ni hatari sana.N
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  tena ni vumbi kweli kweli hasa hii brbr ya morogoro, Loh, haifai.
   
 7. S

  Skype JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Wapi huku mkuu?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  At last...kuna walau mtu mwingine anayekereka na vumbi la Tanzania.

  Kwa kipindi kirefu sana nilidhani labda niko peke yangu tu ninayekereka nalo.
   
 9. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hao Madiwani wenu wanafanya shughuli gani hasaa?
   
 10. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  nadhani sio kila kitu sasa iwe serikali, communities na local government zinatakiwa kusimami hivyo kuanzia chini na kazi ya serikali kuwa kupima utekelezaji na kusimamia tu sheria za mazingira ammbazo zipo. Tuanze na kaya na communities kabla ya kufika kudai government intervention... Je mela mada, hapo kwako unapoishi kuna vumbi?? kama jibu ni ndio, je umefanya nini kupunguza au kuondoa kabisa vumbi?

  Kuna siku mtu atanyimwa unyumba home na kuanza kulalama serikali haijmsaidia kumshawishi mkewe ampe unyumba
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Kwetu kaka
   
 12. peri

  peri JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mi nadhani suala la uchafu (maji, takataka nk) ndio tatizo sugu zaidi kuliko hata vumbi, vumbi ni la muda tu
  na sehemu kama morogoro rd ni kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea
   
 13. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  karibu tanzania
   
 14. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unajua mbali na ukosefu wa maji,ukimwaga hayo maji unasababisha tatizo jingine la matope. Kikubwa ni kwamba barabara zetu bado hazijafikia hadhi ya kupigwa deki
   
Loading...