Mauwaji ya kutisha musoma vijijini-kijiji cha baranga-kata ya buswahili-tarafa ya kiagata.

TATOO

Senior Member
Jul 1, 2012
113
21
Mauwaji ya kutisha yamefanyika katika kijiji cha Baranga wilaya ya musoma vijijini kata ya buswahili tarafa ya kiagata baada ya watoto wawili wa familia moja wakiwa na umri wa miaka 5 na 7 baada ya kutekwa mchana na watu wasiojulikana na baada ya siku iliyofuata walikutwa wakiwa wameuwawa kwa kukatwa vichwa na kutolewa ubongo kila mmoja na kunyofolewa sehem nyingine za mwili....

Kwa habari za kuaminika nikwamba maeneo hayo kuna mgodi wa machimbo ya dhahabu na kumekuwa na matukio ya kutisha baada ya wananchi kusema ni takribani mwezi mmoja or miwili kiliokotwa kiungo cha mguu wa mtoto mdogo aliepotea kwa mazingira ya kutatanisha na kudhaniwa kwamba ni mtoto aliepotea hadi sasa hakuweza kupatikana...
 
Back
Top Bottom