Kumbe ukiwa mwanachama wa CCM ni kosa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe ukiwa mwanachama wa CCM ni kosa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tukundane, Aug 26, 2012.

 1. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,322
  Likes Received: 2,686
  Trophy Points: 280
  Katika pitapita zangu katika vijiji vya mkoa wa mbeya wilaya ya momba.nimekutana na mzee mmoja akiwa amekamatwa na vyombo vya dola huku akiwa amezingilwa na kundi la vijana kwa kuwatishia kuwaua vijana hawo kwa njia za kishirikina.katika tukio hilo alijikezo kijana mmoja anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 15 akasema kuwa baba yangu siyo mchawi isipokuwa anakosa kubwa moja aliongea tena kwa msisitizo mkubwa.aliposisitiza sana nilimuuliza kuwa ni kosa gani kubwa alilonalo baba yako?.jibu ambalo sikulitegemea nilijibiwa kuwa kosa kubwa alilonalo baba yangu nikuwa balozi wa ccm.lkn alikoma siku alipo jitangaza mbele ya wanacdm kuwa yeye ni balozi wa ccm kutokana na kibano alichokipata kutoka kwa wanacdm.kwa kuogopa kupata kibano kingine ameamuwa kukabidhi ubalozi kwa mtu mwingine.sasa hivi ukiitishwa mkutano wowote uwe wa ccm au cdm baba haendi ndiyo kwanza anajiendea klabuni kujipigia ulabu wake.
   
Loading...